CCM Familly Tree ikoje?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,851
Likes
22,942
Points
280

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,851 22,942 280
Nimekuwa curious kidogo na jinsi viongozi wetu
hawa wa ccm wanavyounganisha familia zao....
But tetesi nyingi nazosikia nashindwa kuthibitisha
kama ni kweli au uzushi....
Nitafurahi kama kutakuwa na mtu
atakae nithibitishia hii familly tree kama ni kweli

1.kawawa aliwahi kumuoa anna abdalah???
Waliwahi kuwa na watoto?
2,msekwa na anna abdalah wana watoto????

3.sumaye na mary nagu wana mtoto mmoja???

4.sumaye na martha mlata?????

5.ni kweli kikwete alimuoa mtoto wa zakhia meghji???

6.ana mkapa na mramba?????ni kweli wana mtoto???

7.mkapa na rita mlakki????

8.said mwema ameoa dada yake kikwete?????

9.hivi kikwete ana jumla ya watoto wangapi?
Kwa wanawake wangapi?????
10.ni watoto wa nani wameoana na watoto wa nani????

Kuna mtu aneijua hiyo familly tree vizuri???????
 
Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
39,692
Likes
12,170
Points
280

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
39,692 12,170 280
Anna Mkapa alizaa mtoto na Basil Mramba kabla ya kuwa na Mkapa, mtoto mkubwa wa Anna anaitwa Peter ni mtoto wa Basil Pesambili Mramba.

Unaweza kusema haya mambo hayana tija kwa taifa, lakini wengine wanaweza kusema ni muhimu kuujua uongozi wetu vizuri, ukimjua mtu familia yake unaweza kujua mengi. Na kiongozi hatakiwi kuwa na siri kuhusu mambo ya kifamilia.
 
The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,851
Likes
22,942
Points
280

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,851 22,942 280
hayo unayotaka tuyajadili yana maslahi gani kwa taifa?
wewe shule gani umesoma?????

Huoni umuhimu wa kujua nani anahusiana na nani,mpaka
usikie watu wameteuliwa ubalozi au position yeyote ndo
uone how familly relation ina influence uongozi wa nchi hii????????
 
Balantanda

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2008
Messages
12,372
Likes
1,095
Points
280

Balantanda

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2008
12,372 1,095 280
Nimekuwa curious kidogo na jinsi viongozi wetu
hawa wa ccm wanavyounganisha familia zao....
But tetesi nyingi nazosikia nashindwa kuthibitisha
kama ni kweli au uzushi....
Nitafurahi kama kutakuwa na mtu
atakae nithibitishia hii familly tree kama ni kweli

1.kawawa aliwahi kumuoa anna abdalah???
Waliwahi kuwa na watoto?
2,msekwa na anna abdalah wana watoto????

3.sumaye na mary nagu wana mtoto mmoja???

4.sumaye na martha mlata?????

5.ni kweli kikwete alimuoa mtoto wa zakhia meghji???

6.ana mkapa na mramba?????ni kweli wana mtoto???

7.mkapa na rita mlakki????

8.said mwema ameoa dada yake kikwete?????

9.hivi kikwete ana jumla ya watoto wangapi?
Kwa wanawake wangapi?????
10.ni watoto wa nani wameoana na watoto wa nani????

Kuna mtu aneijua hiyo familly tree vizuri???????
Kusema kwamba ni family tree ya CCM unakuwa haukitendei haki CCM hata kidogo,hao uliowataja ni wana CCM ambao wanaweza wakaondoka CCM muda wowote(wakiamua),na hata hiyo concept yako yenyewe naona ni moja ya mambo ambayo yako too personal(sijajua ni ipi sababu hasa ya kuihusisha na CCM)...Ni vizuri mambo haya ya kifamilia tukawaachia wanafamilia/wahusika wenyewe badala ya kuyahusisha na CCM..Ya kaizari.......
 
Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
39,692
Likes
12,170
Points
280

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
39,692 12,170 280
Kusema kwamba ni family tree ya CCM unakuwa haukitendei haki CCM hata kidogo,hao uliowataja ni wana CCM ambao wanaweza wakaondoka CCM muda wowote(wakiamua),na hata hiyo concept yako yenyewe naona ni moja ya mambo ambayo yako too personal(sijajua ni ipi sababu hasa ya kuihusisha na CCM)...Ni vizuri mambo haya ya kifamilia tukawaachia wanafamilia/wahusika wenyewe badala ya kuyahusisha na CCM..Ya kaizari.......
Amekusudia "Family tree za viongozi wa CCM" ambazo kwa kasi hii ya Nape Nnauye na January makamba na Vita Kawawa na Nyerere na Amani Karume na Dk. Mwinyi na .... unapokataa kwamba family tree za viongozi wa CCM ndizo family trees za uongozi wa CCM unakuwa unatumia uzalendo tu, kwa maana uongozi ni kwa kurithishana tu.

Si mnasikia Kikwete naye kashaanza kuandaa kina Ridhiwani mpaka na vitoto vya miaka kumi, North Korea style.

Na bado, msishangae mkiambiwa tutakuwa na rais mwinyi mwingine, halafu Karume, halafu Kikwete mpaka vitukuu.

Bado kubadili jina tu kuiita Sultanate of Tanzania.

Wale machizi wa Mkapa aliwazibua mwenyewe kuwaleta viwanja wakiwa wadogo sasa wanaona politics za bongo ziko beneath yao, mmoja kajirudi nasikia yupo Makunganya hapo. Washakula sana tender za Simu 2000, we mtu baba Mramba Waziri wa Mawasiliano, baba mwingine Mkapa rais, halafu unapewa deal ya kuuza mali za Shirika la simu mtu wa kukushikisha adabu baba yako mwenyewe Mramba, na yeye wa kumshikisha adabu baba yako wa kambo Mkapa.

Mungu akupe nini tena kama si kidonda, nchi yenyewe bongo hamna hata disclosure wala due diligence, kwanini Mkapa asiseme "Peter I am very proud of you" kwenye party.
 
Balantanda

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2008
Messages
12,372
Likes
1,095
Points
280

Balantanda

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2008
12,372 1,095 280
Amekusudia "Family tree za viongozi wa CCM" ambazo kwa kasi hii ya Nape Nnauye na January makamba na Vita Kawawa na Nyerere na Amani Karume na Dk. Mwinyi na .... unapokataa kwamba family tree za viongozi wa CCM ndizo family trees za uongozi wa CCM unakuwa unatumia uzalendo tu, kwa maana uongozi ni kwa kurithishana tu.

Si mnasikia Kikwete naye kashaanza kuandaa kina Ridhiwani mpaka na vitoto vya miaka kumi, North Korea style.

Na bado, msishangae mkiambiwa tutakuwa na rais mwinyi mwingine, halafu Karume, halafu Kikwete mpaka vitukuu.

Bado kubadili jina tu kuiita Sultanate of Tanzania.
Sidhani kama lengo lilikuwa ni hilo uliloliweka wewe maana maelezo yake yanajieleza vizuri tu

Nimekuwa curious kidogo na jinsi viongozi wetu
hawa wa ccm wanavyounganisha familia zao....
But tetesi nyingi nazosikia nashindwa kuthibitisha
kama ni kweli au uzushi....
Nitafurahi kama kutakuwa na mtu
atakae nithibitishia hii familly tree kama ni kweli

1.kawawa aliwahi kumuoa anna abdalah???
Waliwahi kuwa na watoto?
2,msekwa na anna abdalah wana watoto????

3.sumaye na mary nagu wana mtoto mmoja???

4.sumaye na martha mlata?????

5.ni kweli kikwete alimuoa mtoto wa zakhia meghji???

6.ana mkapa na mramba?????ni kweli wana mtoto???

7.mkapa na rita mlakki????

8.said mwema ameoa dada yake kikwete?????

9.hivi kikwete ana jumla ya watoto wangapi?
Kwa wanawake wangapi?????
10.ni watoto wa nani wameoana na watoto wa nani????

Kuna mtu aneijua hiyo familly tree vizuri???????
 
Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
39,692
Likes
12,170
Points
280

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
39,692 12,170 280
Sidhani kama lengo lilikuwa ni hilo uliloliweka wewe maana maelezo yake yanajieleza vizuri tu

Nimekuwa curious kidogo na jinsi viongozi wetu
hawa wa ccm wanavyounganisha familia zao....
But tetesi nyingi nazosikia nashindwa kuthibitisha
kama ni kweli au uzushi....
Nitafurahi kama kutakuwa na mtu
atakae nithibitishia hii familly tree kama ni kweli

1.kawawa aliwahi kumuoa anna abdalah???
Waliwahi kuwa na watoto?
2,msekwa na anna abdalah wana watoto????

3.sumaye na mary nagu wana mtoto mmoja???

4.sumaye na martha mlata?????

5.ni kweli kikwete alimuoa mtoto wa zakhia meghji???

6.ana mkapa na mramba?????ni kweli wana mtoto???

7.mkapa na rita mlakki????

8.said mwema ameoa dada yake kikwete?????

9.hivi kikwete ana jumla ya watoto wangapi?
Kwa wanawake wangapi?????
10.ni watoto wa nani wameoana na watoto wa nani????

Kuna mtu aneijua hiyo familly tree vizuri???????
The long and the short of it ni kwamba, katika CCM kuna mifamilia familia fulani hivi familia bora, ndiyo hiyo iliyotajwa.

Sasa ukiiunganisha mifamilia hii yote ndipo unapata hili li supra family la CCM.

Sasa mazee alikuwa anatala kujua hii michongo ya familia tofauti tofauti imekaaje ili kujua lile supra family litakaaje.
 
Richard

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2006
Messages
8,755
Likes
5,146
Points
280

Richard

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2006
8,755 5,146 280
Mkuu Bantalanda, heshima mbele.

Mimi nafikiri mkuu Kiranga analeta "concept" kwamba CCM imegeuka na kwa watu fulani tu, maalum na wenye kuweza kujiita familia, kutokana na mtiririko wa maelezo yake.

Ukiangalia kwa umakini utaona kwamba hayo majina alotaja yanakuwa au yatakuwa yakijirudia miaka nenda rudi hivyo kuweza kutengeneza kitu kama "family tree".

Chukulia wazo alogusia kwamba mheshimiwa Peter hana wasiwasi na maisha yake kwani ana "guarantee" ya kutajirika kwa haraka kupitia mgongo wa CCM na kama ilivyo kwa wengine.
 
Balantanda

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2008
Messages
12,372
Likes
1,095
Points
280

Balantanda

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2008
12,372 1,095 280
Na bado, msishangae mkiambiwa tutakuwa na rais mwinyi mwingine, halafu Karume, halafu Kikwete mpaka vitukuu.

.
Hebu tuangalie mifano michache hii hapa chini;

-George H.W Bush baadaye akaja George W. Bush(Marais wa US)

-Indira Gandhi baadaye Rajiv Gandhi(PMs wa India) na muda si mrefu Rahul Gandhi naye atakuwa PM

-Diosdado Pangan Macapagal na sasa Gloria Macapagal-Arroyo(Marais wa Philipines)

-Néstor Kirchner na sasa mkewe Cristina Fernández de Kirchner(Marais wa Argentina hawa)

Mkuu kama watu wana uwezo wa kuongoza na wanakubalika kwa jamii sioni sababu ya kuwanyima ama kuwatenga uongozi eti kwa sababu baba/mama zao walikuwa viongozi
 
Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
39,692
Likes
12,170
Points
280

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
39,692 12,170 280
-George H.W Bush baadaye akaja George W. Bush(Marais wa US)

-Indira Gandhi baadaye Rajiv Gandhi(PMs wa India) na muda si mrefu Rahul Gandhi naye atakuwa PM

-Diosdado Pangan Macapagal na sasa Gloria Macapagal-Arroyo(Marais wa Philipines)

-Néstor Kirchner na sasa mkewe Cristina Fernández de Kirchner(Marais wa Argentina hawa)

Mkuu kama watu wana uwezo wa kuongoza na wanakubalika kwa jamii sioni sababu ya kuwanyima ama kuwatenga uongozi eti kwa sababu baba/mama zao walikuwa viongozi
Sisi hatuongelei Marekani, Phillipines, Argentina wala India, hizo nchi zote zina classic societies na wala hazifichi.

india kuna caste system, ukiwa wa caste moja huwezi hata kuoa mtu wa caste nyingine, kuna wengine ni untouchable ukiwagusa unatakiwa kuoga mara kadhaa, kwa mujibu wa dini yao.Kwa hiyo hao ni utamaduni wao kwamba ukiwa kiongozi utawarithisha wanao, ukiwa mfanyabiashara likewise, ukiwa mwalimu hivyo hivyo, ndiyo system yao.

Marekani nao ni classic society, ukienda Harvard mwanao hata kama si mzima sana seat ya kwenda Harvard kutokana na legacy factor anayo, ndivyo Dubya alivyoenda Harvard.

Sasa ukitulinganisha sie tunaojidai tuna usawa kwa wote na hatuna matabaka na hawa wanaokubali wazi kwamba wana matabaka inakuwa si sawa.

Ama tuache huu unafiki wa kusema Tanzania hakuna matabaka ya watawala na watawaliwa, au tuondoe ukiritimba huu.

Hatuwezi kuwa na ukiritimba wa familia fulani tu kuhodhi madaraka halafu hapo hapo tukajidai eti tuna jamii isiyo matabaka, tutakuwa tunajidanganya tu.

Ukianza kuhesabu the Malimas, Mwinyis Karumes etc ambao wako kwenye vyeo vya legacy ni aibu !

Utafikiri watu hawana professions bwana, au hawana means nyingine za kuishi rather than bloodsucking the beast and idling at the pretense of leading.
 
Balantanda

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2008
Messages
12,372
Likes
1,095
Points
280

Balantanda

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2008
12,372 1,095 280
Sisi hatuongelei Marekani, Phillipines, Argentina wala India, hizo nchi zote zina classic societies na wala hazifichi.

india kuna caste system, ukiwa wa caste moja huwezi hata kuoa mtu wa caste nyingine, kuna wengine ni untouchable ukiwagusa unatakiwa kuoga mara kadhaa, kwa mujibu wa dini yao.Kwa hiyo hao ni utamaduni wao kwamba ukiwa kiongozi utawarithisha wanao, ukiwa mfanyabiashara likewise, ukiwa mwalimu hivyo hivyo, ndiyo system yao.

Marekani nao ni classic society, ukienda Harvard mwanao hata kama si mzima sana seat ya kwenda Harvard kutokana na legacy factor anayo, ndivyo Dubya alivyoenda Harvard.

Sasa ukitulinganisha sie tunaojidai tuna usawa kwa wote na hatuna matabaka na hawa wanaokubali wazi kwamba wana matabaka inakuwa si sawa.

Ama tuache huu unafiki wa kusema Tanzania hakuna matabaka ya watawala na watawaliwa, au tuondoe ukiritimba huu.

Hatuwezi kuwa na ukiritimba wa familia fulani tu kuhodhi madaraka halafu hapo hapo tukajidai eti tuna jamii isiyo matabaka, tutakuwa tunajidanganya tu.

Ukianza kuhesabu the Malimas, Mwinyis karumes etc ambao wako kwenye vyeo vya legacy ni aibu !
Mkuu kama watu wana uwezo wa kuongoza na wanakubalika kwa jamii sioni sababu ya kuwanyima ama kuwatenga uongozi eti kwa sababu baba/mama zao walikuwa viongozi
 
Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
39,692
Likes
12,170
Points
280

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
39,692 12,170 280
Mkuu kama watu wana uwezo wa kuongoza na wanakubalika kwa jamii sioni sababu ya kuwanyima ama kuwatenga uongozi eti kwa sababu baba/mama zao walikuwa viongozi
Kila kitu kinaenda kwa proportion, sasa siku hizi inakuwa kama mtindo.

Worse still hata huo uwezo hawana. Mtu kama Mwinyi kafanya nini miaka yote? Ile mibomu ya Mbagala scandal tosha ya kumuondoa, lakini watu wanamuonea soni yeye na babake.

Bado unawatetea tu?
 
Richard

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2006
Messages
8,755
Likes
5,146
Points
280

Richard

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2006
8,755 5,146 280
Hebu tuangalie mifano michache hii hapa chini;

-George H.W Bush baadaye akaja George W. Bush(Marais wa US)

-Indira Gandhi baadaye Rajiv Gandhi(PMs wa India) na muda si mrefu Rahul Gandhi naye atakuwa PM

-Diosdado Pangan Macapagal na sasa Gloria Macapagal-Arroyo(Marais wa Philipines)

-Néstor Kirchner na sasa mkewe Cristina Fernández de Kirchner(Marais wa Argentina hawa)

Mkuu kama watu wana uwezo wa kuongoza na wanakubalika kwa jamii sioni sababu ya kuwanyima ama kuwatenga uongozi eti kwa sababu baba/mama zao walikuwa viongozi
Mkuu umetoa mifano mizuri sana.

Lakini ukoo wa Bush hautaweza kuendelea kushika Ikulu ya Marekani tena kutokana na kwamba demokrasia ya Marekani kwa sasa imeona mantiki ya kuwa na raisi mwenye asili ya Afrika na kwamba kwa kiwango fulani ataleta mabadiliko ambayo ni muhimu, na mfano tumeona wa bima ya tiba.

Ukoo wa Gandhi siku zote umekuwa ukipigwa vita na baadhi ya wananchi wa India kwamba India si nchi yao (Gandhis) na kutokana na hasira za wananchi hao tulisikia kuuwawa kwa bibi Indira na baadae mwanae Rajiv.

Bibi Gloria Macapagal-Aroyo ni mtoto wa mzee Diosdado lakini ukoo wao unaanzia kwa babu yake Gloria aitwae Don Juan Macapagal, ambae alikuwa ni mjukuu wa mfalme wa Saludung alieitwa Lakandula.

Kwahio ukiangalia sana huu ni ukoo wa kifalme na huwa unaenda kwa kurithishwa.

Tukimalizia na hawa wa Argentina ni kwatu ambao wana asili ya Uhispania na Croatia ila hawana makuu sana na huyu bibi Cristina ni mwanaharakati wa siasa tokea mdogo na amepanda hadi alipo kwa jitihada binafsi na kwa msaada wa mumewe.

Sasa ukiangalia utaona kwamba Kiranga anasema, CCM imejikusanya kifamilia na watu wanapata nafasi (ooportunities) kutekeleza masuala yao na maslahi mengine, na inatofautiana na hao walioelezwa hapo juu kwani wao hufuata "natural way".
 
Balantanda

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2008
Messages
12,372
Likes
1,095
Points
280

Balantanda

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2008
12,372 1,095 280
Kila kitu kinaenda kwa proportion, sasa siku hizi inakuwa kama mtindo.

Worse still hata huo uwezo hawana. Mtu kama Mwinyi kafanya nini miaka yote? Ile mibomu ya Mbagala scandal tosha ya kumuondoa, lakini watu wanamuonea soni yeye na babake.

Bado unawatetea tu?
Mkubwa,mimi simtetei yeyote,ninachoongea ni kwamba,si vibaya kama kuna vijana ambao wanao uwezo wa kuongoza na wanatoka katika familia za viongozi(za kisiasa?) wakapewa nafasi ya uongozi..

Kama mtu anao uwezo wa kuongoza na anakubalika kwa jamii anyimwe uongozi kisa tu anatoka familia ya Kikwete,Mwinyi,Mkapa,Malecela n.k,hapana,tutakuwa tunamnyima haki yake ya kimsingi kama Raia wa Tanzania..Cha msingi afuate tu taratibu zote zinazotakiwa kufuatwa katika kupewa hayo madaraka(uchaguzi n.k) na awe na sifa zinazohitajika..Sidhani hapa tunazungumzia kurithishana kama inavyofanyika UK kwa malkia/mfalme,ama kama ilivyotokea DRC baada ya kufa Kabila mkubwa ama Togo baada ya kufa Eyadema na wanao kukasimishwa/kurithishwa madaraka kabla ya uchaguzi

Tuko pamoja mkuu wangu Kiranga
 
Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
39,692
Likes
12,170
Points
280

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
39,692 12,170 280
Mkubwa,mimi simtetei yeyote,ninachoongea ni kwamba,si vibaya kama kuna vijana ambao wanao uwezo wa kuongoza na wanatoka katika familia za viongozi(za kisiasa?) wakapewa nafasi ya uongozi..

Kama mtu anao uwezo wa kuongoza na anakubalika kwa jamii anyimwe uongozi kisa tu anatoka familia ya Kikwete,Mwinyi,Mkapa,Malecela n.k,hapana,tutakuwa tunamnyima haki yake ya kimsingi kama Raia wa Tanzania..Cha msingi afuate tu taratibu zote zinazotakiwa kufuatwa katika kupewa hayo madaraka(uchaguzi n.k) na awe na sifa zinazohitajika..Sidhani hapa tunazungumzia kurithishana kama inavyofanyika UK kwa malkia/mfalme,ama kama ilivyotokea DRC baada ya kufa Kabila mkubwa ama Togo baada ya kufa Eyadema na wanao kukasimishwa/kurithishwa madaraka kabla ya uchaguzi

Tuko pamoja mkuu wangu Kiranga
Inabidi kuweka quotas sasa, nafasi moja kwa familia kwa miaka 30.

Kusema wao tu ndio wanaoweza kuongoza ni kutukana watu.
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
78,840
Likes
41,697
Points
280
Age
28

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
78,840 41,697 280
Lakini ukoo wa Bush hautaweza kuendelea kushika Ikulu ya Marekani tena kutokana na kwamba demokrasia ya Marekani kwa sasa imeona mantiki ya kuwa na raisi mwenye asili ya Afrika na kwamba kwa kiwango fulani ataleta mabadiliko ambayo ni muhimu, na mfano tumeona wa bima ya tiba.
Ona huyu kool aid drinker mwingine. Eti Marekani imeona "mantiki" ya kuwa na raisi mwenye asili ya Afrika. What the hell are you talking about?

Na umejuaje ataleta mabadiliko? Hiyo bima ya afya unajua nini kilichomo humo au unaongea kiushabiki tu? Unajua kwamba watu watalazimishwa kisheria kuwa na bima na wasipikuwa nayo watatozwa faini?

Acha hizo wewe...huyu Obama wenu ni one and done. One term president. Angalia kura za maoni kuhusu hiyo bima ya afya uone jinsi ambavyo watu hawajaipenda.

BTW: Nilidhani wazungu wa chama cha Democratic sio wabaguzi. LMAO....NO negro dialect please...Lol
 
Richard

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2006
Messages
8,755
Likes
5,146
Points
280

Richard

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2006
8,755 5,146 280
Ona huyu kool aid drinker mwingine. Eti Marekani imeona "mantiki" ya kuwa na raisi mwenye asili ya Afrika. What the hell are you talking about?

Na umejuaje ataleta mabadiliko? Hiyo bima ya afya unajua nini kilichomo humo au unaongea kiushabiki tu? Unajua kwamba watu watalazimishwa kisheria kuwa na bima na wasipikuwa nayo watatozwa faini?

Acha hizo wewe...huyu Obama wenu ni one and done. One term president. Angalia kura za maoni kuhusu hiyo bima ya afya uone jinsi ambavyo watu hawajaipenda.

BTW: Nilidhani wazungu wa chama cha Democratic sio wabaguzi. LMAO....NO negro dialect please...Lol
Sasa mkuu what is your point. Tujadiliane kwa hoja na sio maneno makali.

Je kura ya maoni inasemaje?
 
Forum statistics

Threads 1,190,286
Members 451,082
Posts 27,666,571