CCM: Dr. Slaa awekwe 'busy'


Ni ushauri mzuri , ila natofautiana na wewe kuwa apewe uenyekiti, nashauri agombee na wanachama waamue kwa mujibu wa katiba ya chama chao, charity starts at home, ni muhimu vyama vyetu vinanvyotarajia kushika dola kujitofautisha na siasa za chama tawala katika demokrasia ya ndani ya vyama vyao, chaguzi huru zifanyike kwa uwazi na haki, ndio gharama ya demokrasia hiyo.
 
hata hiyo nafasi aliyo nayo ni sawa tu sababu jembe kali popote linalima,hapo alipo CCM hawalali akienda juu zaidi si wataishia India kwa matibabu.
 
Kuna Maswali sijayapatia majibu nayo ni:

  • Kwa nini ccm hawamuandami Mbowe?
  • Kwa nini ccm hawamuogopi wala kumsakama Zitto pamoja na kubeba hoja nzito nzito ikiwemo hii ya mihela yao ya Uswizi?
  • Kwa nini pro-ccm wote wanamtaka Zitto ndiye awe mgombea wa Urais kupitia CDM?
  • Kwa nini pro-ccm wanampinga Dr. Slaa na kutaka asiwe mgombea wa Urais kupitia CDM ilhali yeye hajatangaza wala kuonyesha nia hiyo?
 

ndo kazi ilishaanza sasa
 

Kwa kweli wewe ni Kadogoo na brain yako pia ni kadogo. Zitto ndio wewe unamuona kuwa anafaa kuwa rais wa Tanzania sio??? basi ww huna lolote ni walewale.
 

nime'like.hata hivyo makala ya dr. Kitila mkumbo raia mwema tarehe 12/12/2012 imejibu maswali
 
kama ni kweli basi ni kameni nzuri sana kwa chadema, kwani wanamuongezea umaarufu zaidi na kuchukua nchi ki ulaini 2015.


 

Haya ndo maswali ya muhimu na yanahihitaji majibu sahihi kulingana na uzito wake.
 
Magamba watakufa mwaka huu kwa presha za Dr.Slaa.

Rais piga kazi sisi tupo nyuma yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…