Huku kikiwekwa roho juu na harakati za CHADEMA kujiimarisha hadi vijijini,CCM imeapa 'kula sahani moja' na Dr. Slaa,Katibu Mkuu wa CHADEMA. Vikao mbalimbali vya kimkakati ndani ya CCM vimeapa kumweka 'busy' Dr. Slaa kwa hoja za majibizano ili kumpunguza kasi ya kiutendaji ndani ya chama. ' Utulivu na kuimarika kwa chama ni uongozi hasa Katibu Mkuu. Hoja ziwe ni kadi za CCM,Zitto na Urais na nyinginezo. Hizi zitatusaidia. Dr. Slaa lazima atatingwa nazo tu' alisema Mjumbe wa CC kwenye kikao ambacho hata Nape Nnauye alikuwepo jana.
Huku kikiwekwa roho
juu na harakati za CHADEMA kujiimarisha hadi vijijini,CCM imeapa 'kula
sahani moja' na Dr. Slaa,Katibu Mkuu wa CHADEMA. Vikao mbalimbali vya
kimkakati ndani ya CCM vimeapa kumweka 'busy' Dr. Slaa kwa hoja za
majibizano ili kumpunguza kasi ya kiutendaji ndani ya chama. ' Utulivu
na kuimarika kwa chama ni uongozi hasa Katibu Mkuu. Hoja ziwe ni kadi za
CCM,Zitto na Urais na nyinginezo. Hizi zitatusaidia. Dr. Slaa lazima
atatingwa nazo tu' alisema Mjumbe wa CC kwenye kikao ambacho hata Nape
Nnauye alikuwepo jana.
Huku kikiwekwa roho juu na harakati za CHADEMA kujiimarisha hadi vijijini,CCM imeapa 'kula sahani moja' na Dr. Slaa,Katibu Mkuu wa CHADEMA. Vikao mbalimbali vya kimkakati ndani ya CCM vimeapa kumweka 'busy' Dr. Slaa kwa hoja za majibizano ili kumpunguza kasi ya kiutendaji ndani ya chama. ' Utulivu na kuimarika kwa chama ni uongozi hasa Katibu Mkuu. Hoja ziwe ni kadi za CCM,Zitto na Urais na nyinginezo. Hizi zitatusaidia. Dr. Slaa lazima atatingwa nazo tu' alisema Mjumbe wa CC kwenye kikao ambacho hata Nape Nnauye alikuwepo jana.
Huku kikiwekwa roho juu na harakati za CHADEMA kujiimarisha hadi vijijini,CCM imeapa 'kula sahani moja' na Dr. Slaa,Katibu Mkuu wa CHADEMA. Vikao mbalimbali vya kimkakati ndani ya CCM vimeapa kumweka 'busy' Dr. Slaa kwa hoja za majibizano ili kumpunguza kasi ya kiutendaji ndani ya chama. ' Utulivu na kuimarika kwa chama ni uongozi hasa Katibu Mkuu. Hoja ziwe ni kadi za CCM,Zitto na Urais na nyinginezo. Hizi zitatusaidia. Dr. Slaa lazima atatingwa nazo tu' alisema Mjumbe wa CC kwenye kikao ambacho hata Nape Nnauye alikuwepo jana.
huku kikiwekwa roho juu na harakati za chadema kujiimarisha hadi vijijini,ccm imeapa 'kula sahani moja' na dr. Slaa,katibu mkuu wa chadema. Vikao mbalimbali vya kimkakati ndani ya ccm vimeapa kumweka 'busy' dr. Slaa kwa hoja za majibizano ili kumpunguza kasi ya kiutendaji ndani ya chama. ' utulivu na kuimarika kwa chama ni uongozi hasa katibu mkuu. Hoja ziwe ni kadi za ccm,zitto na urais na nyinginezo. Hizi zitatusaidia. Dr. Slaa lazima atatingwa nazo tu' alisema mjumbe wa cc kwenye kikao ambacho hata nape nnauye alikuwepo jana.
Huku kikiwekwa roho juu na harakati za CHADEMA kujiimarisha hadi vijijini,CCM imeapa 'kula sahani moja' na Dr. Slaa,Katibu Mkuu wa CHADEMA. Vikao mbalimbali vya kimkakati ndani ya CCM vimeapa kumweka 'busy' Dr. Slaa kwa hoja za majibizano ili kumpunguza kasi ya kiutendaji ndani ya chama. ' Utulivu na kuimarika kwa chama ni uongozi hasa Katibu Mkuu. Hoja ziwe ni kadi za CCM,Zitto na Urais na nyinginezo. Hizi zitatusaidia. Dr. Slaa lazima atatingwa nazo tu' alisema Mjumbe wa CC kwenye kikao ambacho hata Nape Nnauye alikuwepo jana.
Unajua tatizo la CCM, wakati mwingine mikakati yao huwa inawabomoa wao badala ya kubomoa chadema. Kwa wenye macho wameishaona jinsi hoja ya card ya ccm ya dk slaa ina maswali mengi. Hivi kutoa hoja hiyo hadharani inawasaidia nini. Imeonyesha wanavyopokea ada hata za wasiokuwa wanachama. Kama kweli Hii inawezekana ni kwa sababu ya kupenda hela.
Kama ni kweli, inaonyesha hila walizo nazo za kuua upinzani. Kuweka vipandikizi ndani ya vyama pinzani badala ya kutatua kero za watu ili ccm izidi kupendwa.
Inaonyesha Dk Slaa alivyo mwiba kwa ccm, wanatafuta kumuharibia jina badala ya kujibu hoja za CDM.
Hivi kulikuwa na kuna haja gani ya kusema sema hadharani badala ya kumwomba arudishe kadi yao na kumfuta uanachama maana ameasi chama na kuvunja katiba ya ccm.
Ukitaka kuficha upumbavu wako achana na kusema sema mengi, unaposema mengi ni rahisi kujichanganya na wenye macho wakakuona kiazi.
Mtabaki kumtetea mtu hata kama hana sifa za uongozi kama vile maadili, utendaji nk!
Hivi Chadema hakuna anaefaa kuwa Katibu Mkuu zaidi ya Slaa? mbona kuna vijana hodari na wachapakazi wenye maadili kama Zito Kabwe?
Chadema kinahusishwa na udini na ukanda! Slaa ni Padre na mlei wa Kanisa aliesaini mkataba wa KIFISADI wa MOU 1992 akiwakilisha Kanisa na Edwad Lowasa kama Waziri ktk Serikali ya awamu ya Pili!
kama mnataka kufuta hisia za kidini Chadema hamna budi kumsimamisha Mgombea urais mwingine mwenye sifa za uongozi!
Slaa ni msalaba wenu na mkiendelea kumlea na kumuenzi, basi mjue Chadema itafia mikononi mwake!

Usiwe mnafiki. Slaa na Lowassa umewataja kwa majina Alhaji Mwinyi hujamtaja umemficha kwenye kichaka cha 'serikali ya awamu ya pili'. Mijitu mingine bora ingezaliwa Minguruwe wengine tuboreshe vitambi!...Slaa ni Padre na mlei wa Kanisa aliesaini mkataba wa KIFISADI wa MOU 1992 akiwakilisha Kanisa na Edwad Lowasa kama Waziri ktk Serikali ya awamu ya Pili!
Huku kikiwekwa roho juu na harakati za CHADEMA kujiimarisha hadi vijijini,CCM imeapa 'kula sahani moja' na Dr. Slaa,Katibu Mkuu wa CHADEMA. Vikao mbalimbali vya kimkakati ndani ya CCM vimeapa kumweka 'busy' Dr. Slaa kwa hoja za majibizano ili kumpunguza kasi ya kiutendaji ndani ya chama. ' Utulivu na kuimarika kwa chama ni uongozi hasa Katibu Mkuu. Hoja ziwe ni kadi za CCM,Zitto na Urais na nyinginezo. Hizi zitatusaidia. Dr. Slaa lazima atatingwa nazo tu' alisema Mjumbe wa CC kwenye kikao ambacho hata Nape Nnauye alikuwepo jana.
Unajua kuwa kuna wajumbe wanaingia CC kwa nyadhifa zao? Mwenyekiti naye si mmoja wa CC? Wewe ni mmoja wa vijana wavamizi CCM. Unapenda rangi tu. Humu chamani,huniwezi.Huyu Mzee TupaTUPA ni mzushi.nimefuatilia thread zake kama nne zote si za kweli.anasema kikao cha cc wakati kwa sasa ccm haina cc.tuwe makini na huyu mtu
It is too late and too wrong for CCM to fight against Dr.Slaa.
Kuna vichwa vingi sana kwa sasa ndani ya CHADEMA vinafanya harakati kubwa sana za ukombozi wa nchi yetu kwa sasa.