CCM, CUF vs CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM, CUF vs CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mujumba, Mar 7, 2011.

 1. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nadhani ni muda muafaka kuacha kulalamika na kushambulia kwa vitisho, bali hoja ijibiwe kwa hoja. Naamini ccm,cuf na CHADEMA hawataleta vioja. Hatutaki siasa za visasi na kuviziana, bali tekelezeni majukumu yaliyowaweka mlipo ili kuwaumbua watesi wenu! chadema kwasasa anapambana na vyama viwili vilivyoungana kinafiki sasa nani kuibuka mshindi? ngoja tusubirie ila kama waweza kutabiri uwanja ni wako......
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ni ajabu badala ya kujibu hoja, watu wanageukia kwenye vitsho bila kukanusha kinachosemwa!
   
 3. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  kweli kabisa na hii inanishangaza sana
   
 4. n

  nyantella JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Gad ONEYA, unajua tatizo lilipo? yes you are rigth! kuna baadhi ya hoja hazihitaji majibu (answers), zinahitaji majawabu (solutions), tatizo linakuwa kama uta interchange au kukosa moja wapo hasa hilo la pili (solution). usiombe kukosa jawabu wakati muafaka hali yako itakua ngumu kweli kweli, utaitika hata kama hujaitwa.
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Ukweli haupingwi ndugu. Wanaukwepa tu wakijua kosa lao-kutokuwa wakweli
   
 6. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ni kweli kabisa
   
Loading...