comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,952
Nimerudi tena wadau,
CCM ni chama kinachonesha dira na pia ni baba wa demokrasia kwa mfano wa kuigwa na nchi nyingi ambazo zingeomba CCM iende kwao kuongoza na kuweka misingi ya amani na demokrasia.
Tangu chama kimeshika hatamu za uongozi na kuongoza nchi yaani Tanzania, amani imeendelea kutawala sana kiasi cha watanzania kutokua na imani na vyama vingine, maana vinaonekana havina nia njema ya kuongoza nchi bali kuendeleza propaganda njaa, chuki, kuwagawa watu.
Nawasilisha
Kidumu chama cha mapinduzi kiongoze daima amina