CCM: Chama Cha Mafisadi?

Jamco,

Hii inajulikana wapi??
tusipende kujumisha mambo,eti kwa kuangilia manji na mtu flani,kwani wao ndio CCCM pekee,CCM yaani Chama cha Mapinduzi kitaendelea kuwapo mpaka pale tutakapoamua nini kifanyike..

yaani kama ukiw ana mwenyekiti Mhuni na baadhi ya watu wanaomzunguka wakiwa ni walevi sana na wanopenda sana totoz kw muda mrefu,mathalani miaka kama 20 iliyopita na wanaendeleza libeneke hili mpaka sasa,unaweza kukiita vipi cham hicho..

i said first and narudia tena,ahc kukejeli chama cha mapinzuzi,tushindane kwa hoja

Ahsante mkulu,
Lakini naona unasahau ukweli kuwa CCM nzima inanuka rushwa, na ndo maana huwezi kwenda kugombea kule kama hawakujui kama ni mwenzao ukapata, viongozi wote wanachaguliwa kwa rushwa rejea uchaguzi wa CCM uliomalizika tulishuudia vituko vingi sana, watu wanatembeza mamilioni kuwaonga wapiga kura.

Kwenye vyeo vya CCM kuna biashara gani mpaka mtu atumie mamilioni kuakikisha anaingia madarakani, je atarudisha vipi hizo hela anazotumia kuakikisha anaingia madarakani, kaka naona utakuwa na kazi kuwatetea wenzako lakini ili kila mtu analijua kuwa mnatanguliza pesa kwenye uchaguzi wowote ule, mnaowapa nao ni mafisadi kama nyinyi na wanajua kuwa mnakwenda kuiba madarakani ndo maana kama mtu hajatoa chochote hamchagui, rejea hoja ya katibu mstaafu wa CCM bwana Mangula.
 
Asha bila kupinga nakubaliana na wewe. Kama chama kinaongozwa na viongozi mafisadi ambao ungetarajia wakemee ufisadi sioni tabu kukiita chama cha mafisadi. Hao wanachama wasafi tunaohisi wapo anaosema kanakansungu wamefunikwa na ufisadi usafi wao hatuuoni.
Kwa kuongezea Chenge si mjumbe tu bali mwenyekiti wa kamati ya maadili. Sasa kama mwenyekiti ndio fisadi kiasi hicho kuna ubaya gani kukiita chama cha mafisadi? Huyo ambaye angehimiza maadili kachafuka kiasi hicho hao wengine je?
 
Taabu yetu ni kupiga kelele bila ubunifu na kujipanga, tuko mijini tukilalama, nauliza nani wa kwenda kule vijijini akawaeleza haya tunayoyafahamu hapa JF? Kibaya zaidi wapiga kura(majority) wako kule vijijini. Tukitaka change we must tujipange, tuwape elimu kule vijijini, tuwaambie wale ndugu zetu kuwa ccm wasipewe kura 2010, kwani ni wezi, wametuibia. Na kama hatutafanya hivyo tukang'ng'ania town real tunajidanganya, ccm wataendelea kushinda, msisahau ccm wapo kila kijiji hapa Tanzania
 
Hao wengi ambao bado ni wasafi mbona hatuwasikii wakiwashinikiza viongozi wa juu wa CCM ili mafisadi wote wafilisiwe na kufunguliwa mashtaka ili kukisafisha chama chenu? Kulikoni mpaka mmeamua kukaa kimya?

Tunajaribu kupambana nao kwa undani,tumeona jinsi wakina Mwakyembe walivyofanyakazi na kuannika uchafu wa viongozi wale. Juzi kuna yule mbungealiyemuumbua Mkapa...kuna network kubwa underground ambayo inafanyakazi kuhakikisha chama kinawaondoa hawa...Chenge mmmemuona huyo kaanguka.(hawa wezi wameanza kugeukana kwahiyo mtaona mengi tu) Tuna kazi kubwa, tusikate tamaa...mimi siyo siri ni chama changu lakini tuko tunafanyakazi kuhakikisha hawa waliotuingilia waondoke, wakaunde chama chao...hela wanazo.
 
Haya yanayotokea bado ni kwa kushinikizwa sana. Kamati ya Mwakyembe ilipata sapoti baada ya kuona ishu ya Buzwagi ilivyoneemesha wapinzani, lakini ona reaction ya mafisadi kupambana na hiyo kamati na spika mwenyewe. hii inaonesha kwamba mafisadi bado wana nguvu sana CCM. angalia BUTIAMA fiasco, both kwa mafisadi na kwa mwafaka. CCM imekaa zaidi kama genge la mafisadi. kuna mtu amehoji kama bado kinastahili kuitwa "CHAMA", mi nadhani ni GLM (genge la mafisadi) zaidi kuliko Chama Cha Mafisadi.

Ishu ni kwamba wananchi walio wengi huko vijijini wataendelea kusapoti CCM, hata kama inachukua mrengo wa ufisadi (sio mrengo wa kulia wala kushoto wala wa kati!), na hapo ndio kinakuwa hasa chama cha mafisadi. dawa ni wana ccm safi kama wewe kujumuika na wengine kupambana na hawa jamaa walioteka nyara chama
 
Ni kweli, na dawa yao hawa ni kupeleka message vijijini kabisa na kujaribu kuwaambia wanavijiji wasikubali kununuliwa hata kidogo...pesa zisifanye wabadilimwelekeo mana hawa jamaa wameiba pesa nyingi sana za kuvuruga. Waige mfano wa NEC Mbeya, wajumbe walilipwa nyingi sana ila hawakumchaguwa aliyewahonga hela. Hii iwe mfano kwa hao jamaa

Mimi nawaambia hao wananchi, chukueni hizo hela za hao wanaojaribu kuwanunua....kura msiwape.
 
2010 ndiyo tutajua kama wa-tz walio wengi ni wajiga ama laa!! maana hali ninavyoiona kwasasa nategemea viti vingi vya upinzania kama si kuwa ong'o hawa mafisadi tatizo langu kwa vyama vya upinzani vingi havija tulia kidogo mfano chadema kilikuwa kinakuja fresh lkn kwa sera yao ya majimbo kwa upande wangu sioni kama wa tz ina tufaa, cheo+mrema nao sijui kama wanajipya tena
 
Hi ndio ilikuwa JF mnapambana hoja vs hoja ila siku hizi uchama mtupu na vijana kuongozwa na mihemko badala ya uhalisia
 
Back
Top Bottom