Pia huko wilaya mpya ya Mombo katika kijiji cha Lwatwe kulikuwa na uchaguzi wa m/kiti wa kitongoji.Matokeo ni kuwa mgombea wa CHADEMA amembwaga wa CCM. Mwaka huu watalizwa sana.
Pia huko wilaya mpya ya Momba
katika kijiji cha Lwatwe kulikuwa na uchaguzi wa m/kiti wa
kitongoji.Matokeo ni kuwa mgombea wa CHADEMA amembwaga wa CCM. Mwaka huu
watalizwa sana.
Hiyo wilaya iko mkoa gani?
Wilaya wapi, ni kakitongoji tu. Magwanda wanaona wamepataaaa; kweli njaa mbaya sana.
hakuna wilaya isiyo na kitongoji ndo twaja ivo magamba mjiandaeWilaya wapi, ni kakitongoji tu. Magwanda wanaona wamepataaaa; kweli njaa mbaya sana.
ccm kote wanapigwa, nyuma wamepigwa mbele wamepigwa............ .. yaan kote manundu