CCM bwana! Hata Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kumbe hawana maadili?

gps boy

JF-Expert Member
Oct 3, 2015
447
65
Ninavyofahamu Mimi no kwamba ili uteuliwe kushika nafasi ya juu kama MAKAMU WA RAIS AU WAZIRI MKUU kuna chombo kinachochunguza MAADILI Na UADILIFU WAKO.Naamini chombo kilifanya Kazi yake ndio maana waliteuliwa.Najiuliza no MAADILI GANI WALIKOSA kule DODOMA mpaka wakashindwa KUTEULIWA au NDIO CCM FAMILY?
 
Ndio unazinduka baada ya kubwia viroba? Watu sasa tunanoa vikatio kwa ajili ya kazi ya jumapili wewe bado upo na ndoto za kuteuliwa kugombea Urais!
 
Back
Top Bottom