Nyie m'bebwe kwenye malori kama mbuzi, na wao waje na mashangigi!...these are insults!Leo ni siku ambayo"kiongozi wa mkuu anawasili katika jimbo la busanda katika kata ya nyarugusu"vijana wengi hawaoneshi msisimko wowote ambao watu wengi wamechoka na chama cha ccm mpaka wazee nao wamechoka"kinachochekesha chama cha mapinduzi kinakusanya maroli ambayo yanabeba watu kutoka sehemu mbalimbali ili kuonyesha msisimko,lengo lao ni kujionyesha wanawatu wengi lakini hapana watu tumechoka
Nyie m'bebwe kwenye malori kama mbuzi, na wao waje na mashangigi!...these are insults!
Leo ni siku ambayo"kiongozi wa mkuu anawasili katika jimbo la busanda katika kata ya nyarugusu"vijana wengi hawaoneshi msisimko wowote ambao watu wengi wamechoka na chama cha ccm mpaka wazee nao wamechoka"kinachochekesha chama cha mapinduzi kinakusanya maroli ambayo yanabeba watu kutoka sehemu mbalimbali ili kuonyesha msisimko,lengo lao ni kujionyesha wanawatu wengi lakini hapana watu tumechoka
Mimi sifungamani na upande wowote lakini maoni yangu CCM kubeba wanachama wake sioni kosa kwani mgombea uraisi hazunguki kwenye Jimbo Zima, hii ina maana wale wa mbali kama wasipopewa usafiri hawatamsikia mgombea wao wa uraisi. Ukweli ni kuwa vyama vyote vingependa ujumbe wa mgombea uraisi wao uwafikie wanajimbo wote lakini uwezo ni mdogo.
Nyie m'bebwe kwenye malori kama mbuzi, na wao waje na mashangigi!...these are insults!
Ndiyo maana wengi wanatembea kwa miguu,wengine kwa baiskeli,na wengine wanajigharamia nauli kwenye mabasi ili wafike kumwona mgombea mpya na mwenye mambo mapyaMimi sifungamani na upande wowote lakini maoni yangu CCM kubeba wanachama wake sioni kosa kwani mgombea uraisi hazunguki kwenye Jimbo Zima, hii ina maana wale wa mbali kama wasipopewa usafiri hawatamsikia mgombea wao wa uraisi. Ukweli ni kuwa vyama vyote vingependa ujumbe wa mgombea uraisi wao uwafikie wanajimbo wote lakini uwezo ni mdogo.
Mimi sifungamani na upande wowote lakini maoni yangu CCM kubeba wanachama wake sioni kosa kwani mgombea uraisi hazunguki kwenye Jimbo Zima, hii ina maana wale wa mbali kama wasipopewa usafiri hawatamsikia mgombea wao wa uraisi. Ukweli ni kuwa vyama vyote vingependa ujumbe wa mgombea uraisi wao uwafikie wanajimbo wote lakini uwezo ni mdogo.
Kuna vijana wa CCM niliongea nao jmosi nikaanza kwa kuwauliza nyie mbona mnangania kama kupe kwenye mzonga wakacheka wakaniambia hatuna ajira sasa hivi elfu kumi kumi hivi acha tule lakini kura yetu hapati amezoea kututumia baada ya uchanguzi anatusahau tunabaki kubangaiza..Kura kwa Dr SlaaPK imafikirisha, lakini mijitu hii umasikini unawatafuna, vichwa ni vitupu, wakipewa kofia na Tshirt wanaona ni vityu vya thamani.
Lakini TZ inaamka, watu wanaanza kujua haki na wajibu wao.
Arusha mpaka KARATU bado ni JIMBO?
Vincent,
Umesoma sheria ya gharama za uchaguzi?
Hiyo ni rushwa!