Mohamedi Mtoi R I P Joined Dec 11, 2010 Posts 3,321 Reaction score 6,331 Jan 1, 2014 #41 OSOKONI said: kwa nini mwanachama mmoja wa chadema asichukue fomu kwa ticket ya ccm halafu uchaguzi kama kesho ajitoe na kumuachia mgombea wetu wa chadema?? Click to expand... Uhuni huo hufanywa na ccm. Chama makini kama chadema hakiwezi kurithi uhuni wa kijinga kwenye demokrasia kwa namna hiyo.
OSOKONI said: kwa nini mwanachama mmoja wa chadema asichukue fomu kwa ticket ya ccm halafu uchaguzi kama kesho ajitoe na kumuachia mgombea wetu wa chadema?? Click to expand... Uhuni huo hufanywa na ccm. Chama makini kama chadema hakiwezi kurithi uhuni wa kijinga kwenye demokrasia kwa namna hiyo.
Baba Joseph17 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2013 Posts 9,518 Reaction score 9,806 Jan 1, 2014 #42 mgeni wenu said: Chama cha Mapinduzi wilaya ya Bunda kinawatangazia wanachama wake au yoyote anaehitaji kujiunga na chama kuwa form za Ugombea Udiwani Kata ya Nyasura zitatokewa Bure,hii ni kutoka na kujitoa kwa wagombea wawili na kukosa Mgombea Click to expand... Wasira akimaliza sikukuu atakuja kumweka mgombea hafu tuone nani atakaye mshinda mgombea wa Tyson
mgeni wenu said: Chama cha Mapinduzi wilaya ya Bunda kinawatangazia wanachama wake au yoyote anaehitaji kujiunga na chama kuwa form za Ugombea Udiwani Kata ya Nyasura zitatokewa Bure,hii ni kutoka na kujitoa kwa wagombea wawili na kukosa Mgombea Click to expand... Wasira akimaliza sikukuu atakuja kumweka mgombea hafu tuone nani atakaye mshinda mgombea wa Tyson
KISHINDO JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 2,206 Reaction score 1,964 Jan 1, 2014 #43 Namwonea huruma sana wasira. Sijui atakimbilia wapi mwakani. Ntapanda gari nikapige kura kwa sababu yake.
Namwonea huruma sana wasira. Sijui atakimbilia wapi mwakani. Ntapanda gari nikapige kura kwa sababu yake.
S spartarcus JF-Expert Member Joined Aug 2, 2013 Posts 272 Reaction score 24 Jan 1, 2014 #44 kwa siasa za Bnd mjini wakati wote,ccm huwa hawana chao pale.
J jaffari odhiambo JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 526 Reaction score 13 Jan 1, 2014 #45 Hizo form zinatolewa na nani? Je, ni form halali ama feki? Ni za kugombea ni?
J jaffari odhiambo JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 526 Reaction score 13 Jan 1, 2014 #46 Usiseme hivyo siasa ni kama karata.
J jaffari odhiambo JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 526 Reaction score 13 Jan 3, 2014 #47 Hizo form za kugombea udiwani zinatolewa na ccm ama serikali. Nyasura wajipange vizuri.
M mgeni wenu JF-Expert Member Joined Jan 2, 2012 Posts 3,664 Reaction score 1,731 Jan 3, 2014 Thread starter #48 jaffari yogo said: Hizo form za kugombea udiwani zinatolewa na ccm ama serikali. Nyasura wajipange vizuri. Click to expand... za uteuzi ndani ya chama
jaffari yogo said: Hizo form za kugombea udiwani zinatolewa na ccm ama serikali. Nyasura wajipange vizuri. Click to expand... za uteuzi ndani ya chama