Nimegundua bunge la katiba ni UKAWA maana toka wametoka wachangiaji wamepooza sana pia wamepoteza kujiamini kabisa kwenye uchangiaji
Namsihi mwenyekiti SITTA aendelee kujitahidi kuwapigia magoti UKAWA kama alivyoanza jana kule znz ili warudi bungeni tupate katiba bora na bunge bora na la kihistoria
Linaendelea kikampeni sio kiualisia hilo lipo wazi kwa wafuatiliaji wazuri wa bunge
- Sasa mbona bunge linaendelea au?
Le Mutuz System
Nimegundua bunge la katiba ni UKAWA maana toka wametoka wachangiaji wamepooza sana pia wamepoteza kujiamini kabisa kwenye uchangiaji
Namsihi mwenyekiti SITTA aendelee kujitahidi kuwapigia magoti UKAWA kama alivyoanza jana kule znz ili warudi bungeni tupate katiba bora na bunge bora na la kihistoria
- Lakini 2/3 si ipo mle ndani inayohitajika kupitisha sheria au?
Le Mutuz System
- Lakini 2/3 si ipo mle ndani inayohitajika kupitisha sheria au?
Le Mutuz System
Alitakiwa kuliahirisha Bunge kwa muda huu ili kuapata muafaka wa wabunge waliosusia vikao hivi.Si dalili nzuri hata kidogo.Busara ndogo tu ingetumika kuinususu nchi yetu.
Marithiano ndiyo kitu cha msingi,alikosea alipokuwa kimya juu ya wale Wajumbe waliokuwa wanatoa kashfa, matusi na ukabila na alitakiwa kubadilika hata sasa wakati muda mwingi wajumbe badala ya kuchangia kwenye Rasimu wako busy wanaendelea kuananga wapinzani,siwaelewi.
Hakuna unachokijua bora kaa tulia wewe kama ungefuatilia vema kanuni na kujua waliotoka ni watu wangapi ndipo ungesema pengine unawaza kama hawa.hakuna unachokijua wewe .... unajua udaku tuu .... 2/3 inahitajika both wajumbe wa zanzibar kwa upande wa visiwani na wajumbe kutoka bara nao wapitishe 2/3
the game has to be 2-0 and not 1-0 0r 1-1
kinachoendelea hapo bungeni ni maigizo zaidi, hapo ni mipasho, kejeli, matusi na uchakachuaji zaidi! Kiujumla bunge linaendelea zaidi ili waweze kulipana 300000 kwa siku na si zaidi!- Sasa mbona bunge linaendelea au?
Le Mutuz System
Hii nini mkuu unajadili ni upuuzi gani mkuu punguza hasira mda bado upo katiba itapatikana wala usijali.upuuzi mtupu.
- Sasa mbona bunge linaendelea au?
Le Mutuz System
bunge gani unaloangalia hapa? Mbona mipasho,kejeli, matusi na ngonjera zinaendelea? Hakuna jipya zaidi ya ufisadi tu!Kwenda zako wewe bavicha huna jipya tafuta ajenda nyingine bunge limekuwa ni bunge la kistarbu watu wanajenga hoja hakuna matusi tena kama yaliyokuwa yanatolewa na Lisu na wengine.
Kwa hilo naunga mkono hoja na pia nashukuru udhaifu wa sitta umeuona
Wajumbe hawachangii tena sura 1-6 wanachangia UKAWA kutoka nje sasa kama kinawauma wakae warithiane swala la akidi kutimia au kutokutimia sio hoja kama LE MUTUZ anavyotaka kujitete hapo juu.
- Lakini 2/3 si ipo mle ndani inayohitajika kupitisha sheria au?
Le Mutuz System
Hakuna unachokijua bora kaa tulia wewe kama ungefuatilia vema kanuni na kujua waliotoka ni watu wangapi ndipo ungesema pengine unawaza kama hawa.
hakuna unachokijua wewe .... unajua udaku tuu .... 2/3 inahitajika both wajumbe wa zanzibar kwa upande wa visiwani na wajumbe kutoka bara nao wapitishe 2/3
the game has to be 2-0 and not 1-0 0r 1-1