CCM Bila Mabavu Kumbe Wepesi Hivi? Hii Ndio Picha Halisi

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,931
71,549

Kumbe hali halisi ndio hii? Jana Geita Bawacha wakazuiwa kufanya sherehe ya siku yq wanawake na kulazimishwa kujiunga na wafanyayo ccm.

Picha halisi hapo juu inaonyesha wamama wa CHADEMA wanafuraha na maisha ndani ya chama chao kuliko wa CCM ambao ni kama vile wamemula kiporo cha baridi na kulazimishwa kuvaa manguo kijani na kuja kuiimbia CCM.

Sasa hiyo ndio picha kamili ya nguvu ya upinzani huko chini kama hiari INA achwa ichukue nafasi. Kumbukeni Geita ni nyumbani kwao nani.

Tukutane 2020 tukisha shinda kesi ya Wangwe ya kuwatema Wwkurugenzi kutumikia NEC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nikisoma post zenu mnavyotiana mioyo huwa nacheka kimoyo moyo. Ni kama mitoto inagawana magari barabarani hili langu lile langu.

Hivi kwa akili yenu mnadhani JPM ndio mwepesi kushinda JK mliyemwita dhaifu? Anyway subirini 2020 october tuombe uzima wangu, wenu na wa JPM ndio mtajua ikiwa ni kweli Wasukuma wamemshtukia jamaa yao au Geita kwake ndio hawamataki...
 
Wamama wa chadema walipendeza sana,halafu walishona mishono mizuri sana ,halafu nimegundua wanawake wana uthubutu kuliko wanaume yani hawaogopi kama kina Waitara
 
Ila tuweke uchama pembeni huyu alidesign hizi rangi za chadema alijitaid sana hasa hizi tshirt zinabamba kinoma
Kijani fanyeni mpango wa kubadilisha hiz rang za mboga mboga

Ni ushauri tu msining'oe kucha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona hivyo hadi Wasukuma wenyewe wameshtuka,kuwa huyu sio huyu anaweza kuwa Mhutu.

Kanda ya ziwa ana Kazi ngumu sana kupenya kama atarudishiwa kugombea 2020 alichowafanyia kwenye Samaki hawana hamu,Samaki ndo maisha ya Kanda ya ziwa wavuvi wanajua zaidi.Kupenya kihalali hawezi ni mwepesi anategemea kubebwa.
 
Huwa nikisoma post zenu mnavyotiana mioyo huwa nacheka kimoyo moyo. Ni kama mitoto inagawana magari barabarani hili langu lile langu.

Hivi kwa akili yenu mnadhani JPM ndio mwepesi kushinda JK mliyemwita dhaifu? Anyway subirini 2020 october tuombe uzima wangu, wenu na wa JPM ndio mtajua ikiwa ni kweli Wasukuma wamemshtukia jamaa yao au Geita kwake ndio hawamataki...
Sisi wazee wa slow poison hatuna haraka tunawasubiri tu waendelee kujitekenya na kucheka wenyewe
 
Kumbe hali halisi ndio hii? Jana Geita Bawacha wakazuiwa kufanya sherehe ya siku yq wanawake na kulazimishwa kujiunga na wafanyayo ccm.
Picha halisi hapo juu inaonyesha wamama wa Chadema wanafuraha na maisha ndani ya chama chao kuliko wa ccm ambao ni kama vile wamemula kiporo cha baridi na kulazimishwa kuvaa manguo kijani na kuja kuiimbia ccm.
Sasa hiyo ndio picha kamili ya nguvu ya upinzani huko chini kama hiari INA achwa ichukue nafasi. Kumbukeni Geita ni nyumbani kwao nani.
Tukutane 2020 tukisha shinda kesi ya Wangwe ya kuwatema Wwkurugenzi kutumikia NEC

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukweli ƙuwa bila mtutu CCM haipo!
 
Kanda ya ziwa ana Kazi ngumu sana kupenya kama atarudishiwa kugombea 2020 alichowafanyia kwenye Samaki hawana hamu,Samaki ndo maisha ya Kanda ya ziwa wavuvi wanajua zaidi.Kupenya kihalali hawezi ni mwepesi anategemea kubebwa.
Sasa ngoja nikuambie kitu kanda ya ziwa atashinda tena kwa kishindo kama huamini 2020 subiri
 
Huwa nikisoma post zenu mnavyotiana mioyo huwa nacheka kimoyo moyo. Ni kama mitoto inagawana magari barabarani hili langu lile langu.

Hivi kwa akili yenu mnadhani JPM ndio mwepesi kushinda JK mliyemwita dhaifu? Anyway subirini 2020 october tuombe uzima wangu, wenu na wa JPM ndio mtajua ikiwa ni kweli Wasukuma wamemshtukia jamaa yao au Geita kwake ndio hawamataki...

Ni hivi ataagiza ccm watangazwe washindi lakini kwenye box la kura ataishia kunawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom