CCM Bila Mabavu Kumbe Wepesi Hivi? Hii Ndio Picha Halisi

Huwa nikisoma post zenu mnavyotiana mioyo huwa nacheka kimoyo moyo. Ni kama mitoto inagawana magari barabarani hili langu lile langu.

Hivi kwa akili yenu mnadhani JPM ndio mwepesi kushinda JK mliyemwita dhaifu? Anyway subirini 2020 october tuombe uzima wangu, wenu na wa JPM ndio mtajua ikiwa ni kweli Wasukuma wamemshtukia jamaa yao au Geita kwake ndio hawamataki...
Ccm haikubaliki tena popote nchi hii, kinachoibeba ccm kwa sasa ni jeshi la polisi na tume ya uchaguzi

Ccm haiko madarakani kwa nguvu ya wananchi

Wananchi walishaikataa ccm kitambo sana

Kushinda kwa ccm hakutegemei kukubalika kwa wananchi, bali inategemea kupora ushindi kwa kutumia vyombo vya dola
 
Hili nalo halitawasaidia sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wepesi kama robo kilo ya pamba tu

Kumbe hali halisi ndio hii? Jana Geita Bawacha wakazuiwa kufanya sherehe ya siku yq wanawake na kulazimishwa kujiunga na wafanyayo ccm.
Picha halisi hapo juu inaonyesha wamama wa Chadema wanafuraha na maisha ndani ya chama chao kuliko wa ccm ambao ni kama vile wamemula kiporo cha baridi na kulazimishwa kuvaa manguo kijani na kuja kuiimbia ccm.
Sasa hiyo ndio picha kamili ya nguvu ya upinzani huko chini kama hiari INA achwa ichukue nafasi. Kumbukeni Geita ni nyumbani kwao nani.
Tukutane 2020 tukisha shinda kesi ya Wangwe ya kuwatema Wwkurugenzi kutumikia NEC

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we trust
 
Jee matukio haya ya kina mama kutokuwa na woga na kujionyesha mbele ya maccm msimamo wao ndani ya mkoa ambao ni nyumbani kwa mzee baba kuna mahusiano na KUONDOKA KWA LOWASSA?
NImeuliza hivyo kwani kuna watu wanasema kuingia kwa Lowassa ndani ya Chadema kuligeuza majasiri kuwa mazombie kiasi cha wakipigwa nao wanakua kama Kondoo mfano wa Lowassa asiye jua hata kujibu mapigo.
Uzubavu wa wana Chadema unatokana na kumuiga Lowassa ambaye maisha yake yote hazijui harakati za kupambana bali anajuwa kubebwa na dola tuu.
Jee yaweza kuwa kauli hiyo ni kweli? Na kwamba sasa itabaki Chadema mapambano na hakuna ufala tena?
 
Hapo Geita kuna wanachama wengi sana wa cdm na wana hasira sana na watesi na wanyanyasaji wa wapinzani hasa wakikumbuka kifo cha ndugu yao Alphonse Mawazo

Kumbe hali halisi ndio hii? Jana Geita Bawacha wakazuiwa kufanya sherehe ya siku yq wanawake na kulazimishwa kujiunga na wafanyayo ccm.
Picha halisi hapo juu inaonyesha wamama wa Chadema wanafuraha na maisha ndani ya chama chao kuliko wa ccm ambao ni kama vile wamemula kiporo cha baridi na kulazimishwa kuvaa manguo kijani na kuja kuiimbia ccm.
Sasa hiyo ndio picha kamili ya nguvu ya upinzani huko chini kama hiari INA achwa ichukue nafasi. Kumbukeni Geita ni nyumbani kwao nani.
Tukutane 2020 tukisha shinda kesi ya Wangwe ya kuwatema Wwkurugenzi kutumikia NEC

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we trust
 
Mbona Lissu 2020 anajichukulia kura kama anaokota vilee?
Tena hili la kuonea Upande Mmoja limezidisha Mshawasha wa Wananchi kukipenda chama cha Demokrasia na Maendeleo pamoja na Kumpiga risasi za Rasharasha Mhe LISSU..

In God we trust
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom