K kizazi kipya JF-Expert Member Jul 21, 2010 327 62 Sep 21, 2011 #3 duh sasa wataweza fanya hivo kwa watanzania wote....obviously kno...na safari yao ndo inaishia hivo..
duh sasa wataweza fanya hivo kwa watanzania wote....obviously kno...na safari yao ndo inaishia hivo..
ngoshwe JF-Expert Member Mar 31, 2009 4,131 931 Sep 21, 2011 #4 saas said: View attachment 37627 watu wanasubiria Click to expand... hii ni takrima ambayo imezuiliwa kwenye sheria ya gharama za uchaguzi!!
saas said: View attachment 37627 watu wanasubiria Click to expand... hii ni takrima ambayo imezuiliwa kwenye sheria ya gharama za uchaguzi!!
Lutala JF-Expert Member Jun 17, 2010 848 103 Sep 22, 2011 #8 Kwa kweli kama wamefikia hatua ya kuomba kura kwa ubwabwa basi ujue safari imekaribia
D dkalu Member Aug 12, 2011 42 1 Sep 23, 2011 #9 No way to escape wamelala chali ndo kikomo wamefika hivyooo....
Anko Sam JF-Expert Member Jun 30, 2010 3,200 820 Sep 23, 2011 #10 Dalili ya kuzama jahazi ndo hizi za kuwashawishi watu kwa ubwabwa! CCM hiiiyo inaelekea shimoni daima.
Dalili ya kuzama jahazi ndo hizi za kuwashawishi watu kwa ubwabwa! CCM hiiiyo inaelekea shimoni daima.
Enginier JF-Expert Member Nov 11, 2010 275 35 Sep 30, 2011 #11 Washaona wanafulia, bila hivi hawatapata kitu
Sajenti JF-Expert Member Apr 24, 2008 3,651 412 Sep 30, 2011 #12 Lutala said: Kwa kweli kama wamefikia hatua ya kuomba kura kwa ubwabwa basi ujue safari imekaribia Click to expand... ..Ndio zao hao baadae wanakuja kuuza nchi kwa suti tu!!...Masaburi kabisa hao!!.
Lutala said: Kwa kweli kama wamefikia hatua ya kuomba kura kwa ubwabwa basi ujue safari imekaribia Click to expand... ..Ndio zao hao baadae wanakuja kuuza nchi kwa suti tu!!...Masaburi kabisa hao!!.