CCM banaa wameishiwa sera kazi waliobakia nayo ni hii

Saas

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
268
76
2Q==
 
duh sasa wataweza fanya hivo kwa watanzania wote....obviously kno...na safari yao ndo inaishia hivo..
 
Kwa kweli kama wamefikia hatua ya kuomba kura kwa ubwabwa basi ujue safari imekaribia
 
Dalili ya kuzama jahazi ndo hizi za kuwashawishi watu kwa ubwabwa! CCM hiiiyo inaelekea shimoni daima.
 
Back
Top Bottom