Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,507
Mkuu VUTA-NKUVUTE ,Mkuu Ng'wamapalala,ipo siku utajua ukweli wangu unaoutafuta kwa nguvu kubwa mno. Uwe na wakati mwema Mkuu!
Ingawa tumebwagwa vibaya katika uchaguzi wa Udiwani Arusha Jumapili iliyopita, bado CCM tupo imara. Ni wazi kuwa kuanzia uchaguzi mkuu wa 2010,hasa katika chaguzi ndogo mbalimbali,kura zetu zinaendelea kuserereka kuelekea chini pamoja na kushinda sehemu nyingi nchini kwa kipindi hicho.Bado tuna nafasi ya kujirekebisha.
Nashukuru kwa kukiri kwamba mmebwagwa vibaya,
Nashukuru kwa kukiri pia kwamba kura zenu zinaendelea kuserereka kwenda chini.
Nashukuru kwa kukiri kwamba CHADEMA inaimarika kila siku.
Sina mengi zaidi ya kukushukuru kwa kuelewa hali halisi na kukubali kwamba maji yamewafika shingoni.
Ni HAYO tu ndugu yangu mwenye roho ya paka.
Mkuu Ng'wamapalala, are you alleging that VUTA-NKUVUTE is Kiwa? Si kweli.Mkuu,sikuwahi kuwa na ID zaidi ya hii.Mkuu Kiwa ni huru kama nilivyo. Ipo siku Mkuu utafurahiMkuu VUTA-NKUVUTE ,
JF ina watu mbali mbali wenye umri tofauti na uelewa tofauti.
Usishangae kuna wataalamu wa data mining ambao wanaweza kuzipambanua generative syntax kwa 75% to 95% wanapoamua kufuatilia maandishi mbali mbali ili kupata write print.
Kwa mfano wa haraka haraka, baada ya kupitia mabandiko yote hapa na kulisoma bandiko hili katika paragraph hii,
Halafu nikalinganisha na sauti ya maandishi iliyoko ndani ya bandiko hili,
Ninapata sauti ya maandishi inayofanana kwa karibu kuniwezesha kuanza kuangalia viashiria vya chanzo cha sauti hizi ili nipate write print.
Kwani hufahamu kama tuko kwenye dunia ya sayansi na tekinologia.
Sina sababu ya kunifanya nitafute ukweli wako wakati ukweli wako uko kwenye mabandiko yako.
Have a good one.
Ingawa tumebwagwa vibaya katika uchaguzi wa Udiwani Arusha Jumapili iliyopita, bado CCM tupo imara. Ni wazi kuwa kuanzia uchaguzi mkuu wa 2010,hasa katika chaguzi ndogo mbalimbali,kura zetu zinaendelea kuserereka kuelekea chini pamoja na kushinda sehemu nyingi nchini kwa kipindi hicho.Bado tuna nafasi ya kujirekebisha.
Chaguzi hizi ndogo ni kama mechi za kisoka. Viongozi wetu (makocha wetu) wameshauona udhaifu unaojitokeza chamani na hata kwenye kampeni.Ni watu waonaji na wasikivu.Watafanya jambo. Watakirekebisha vyema chama kuelekea 2015. CCM yetu bado imara na iko tayari kwa uchaguzi wowote mahali popote. Yeyote atakayestahili adhabu ya kichama atapewa;wa kutunukiwa atatunukiwa.
Lakini,kama chama kikomavu,tunatambua kuimarika kwa chama kikuu cha upoinzani nchini CHADEMA SIKU HADI SIKU. Tunatambua kuwa siasa za nchi hizi naimarika na kunoga. Zinaelekea pazuri. Zitafikia mahali ambapo wapigakura watachagua maendeleo hasa. CCM tunajiandaa kwa hilo. Tunajiimarisha kwa siasa za kihoja za haja. Tupo tayari haswa!
CHADEMA,CUF,NCCR-Mageuzi,TLP na wengineo kaeni chonjo.CCM inaimarishwa na siasa za sasa za kidijitali. Bado tupo imara!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Mkuu, sijaweka neno ALLEGING kwenye bandiko langu kwa vile kuandika neno hilo nitakuwa ninavunja sheria za JF. Naona kama unaniwekea maandishi ambayo sijayaweka.Mkuu Ng'wamapalala, are you alleging that VUTA-NKUVUTE is Kiwa? Si kweli.Mkuu,sikuwahi kuwa na ID zaidi ya hii.Mkuu Kiwa ni huru kama nilivyo. Ipo siku Mkuu utafurahi
Hata mgonjwa mahututi anapokaribia kukata roho huwapa jamaa zake matumaini kwa kukaa na kunywa uji mwenyewe, hapo ndipo ccm ilipo, mkishamaliza huo uji ndipo mtanyooka kimojaa,Ingawa tumebwagwa vibaya katika uchaguzi wa Udiwani Arusha Jumapili iliyopita, bado CCM tupo imara. Ni wazi kuwa kuanzia uchaguzi mkuu wa 2010,hasa katika chaguzi ndogo mbalimbali,kura zetu zinaendelea kuserereka kuelekea chini pamoja na kushinda sehemu nyingi nchini kwa kipindi hicho.Bado tuna nafasi ya kujirekebisha.
Chaguzi hizi ndogo ni kama mechi za kisoka. Viongozi wetu (makocha wetu) wameshauona udhaifu unaojitokeza chamani na hata kwenye kampeni.Ni watu waonaji na wasikivu.Watafanya jambo. Watakirekebisha vyema chama kuelekea 2015. CCM yetu bado imara na iko tayari kwa uchaguzi wowote mahali popote. Yeyote atakayestahili adhabu ya kichama atapewa;wa kutunukiwa atatunukiwa.
Lakini,kama chama kikomavu,tunatambua kuimarika kwa chama kikuu cha upoinzani nchini CHADEMA SIKU HADI SIKU. Tunatambua kuwa siasa za nchi hizi naimarika na kunoga. Zinaelekea pazuri. Zitafikia mahali ambapo wapigakura watachagua maendeleo hasa. CCM tunajiandaa kwa hilo. Tunajiimarisha kwa siasa za kihoja za haja. Tupo tayari haswa!
CHADEMA,CUF,NCCR-Mageuzi,TLP na wengineo kaeni chonjo.CCM inaimarishwa na siasa za sasa za kidijitali. Bado tupo imara!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Thank you Comrade.Enjoy your evening!Mkuu, sijaweka neno ALLEGING kwenye bandiko langu kwa vile kuandika neno hilo nitakuwa ninavunja sheria za JF. Naona kama unaniwekea maandishi ambayo sijayaweka.
I'm trying to be a good JF citizen na sitarajii kuzivunja sheria ninazozifahamu hapa JF.

Mkuu Ng'wamapalala, are you alleging that VUTA-NKUVUTE is Kiwa? Si kweli.Mkuu,sikuwahi kuwa na ID zaidi ya hii.Mkuu Kiwa ni huru kama nilivyo. Ipo siku Mkuu utafurahi
Labda mtafute dawa ya kufungia JF, facebook, all social forums and blogs na Smartphone zote zisiingie chini. Na ikibidi hata ipitishwe sheria ya kutoruhusu simu za mkononi zenye uwezo wa ku-access internet. Vinginevyo; mkibahatika sana, bac uchaguzi wenu wa mwisho kushinda itakuwa hiyo 2015, baada ya hapo lazima mfe kibudu tu.
Nihame nchi mara ngapi? mbona kitambo sipo hiyo nchi ya kusadikikaNdugu social networks hizi hizi zitatumika kusustain ushindi wa ccm... kwann zifungiwe?? Yangu macho itakapo kua T2015CCM adi ikulu itakubidi kuhama nchi.