VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
natamani tu ccm isife. iwepo tu ili ipate kujifunza kutoka kwa wenzao wa CDM. alaf wafundisheni wale watoto (mtela, shonza, mwigulu) jinsi ya kuongea na watu wa rika mbalimbali. they are mannerless!!
Ingawa tumebwagwa vibaya katika uchaguzi wa Udiwani Arusha Jumapili iliyopita, bado CCM tupo imara.
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Uongo huonekana na kuaminiwa haraka.Ukweli ndio mwisho wa yote!
Ingawa tumebwagwa vibaya katika uchaguzi wa Udiwani Arusha Jumapili iliyopita, bado CCM tupo imara. Ni wazi kuwa kuanzia uchaguzi mkuu wa 2010,hasa katika chaguzi ndogo mbalimbali,kura zetu zinaendelea kuserereka kuelekea chini pamoja na kushinda sehemu nyingi nchini kwa kipindi hicho.Bado tuna nafasi ya kujirekebisha.
Chaguzi hizi ndogo ni kama mechi za kisoka. Viongozi wetu (makocha wetu) wameshauona udhaifu unaojitokeza chamani na hata kwenye kampeni.Ni watu waonaji na wasikivu.Watafanya jambo. Watakirekebisha vyema chama kuelekea 2015. CCM yetu bado imara na iko tayari kwa uchaguzi wowote mahali popote. Yeyote atakayestahili adhabu ya kichama atapewa;wa kutunukiwa atatunukiwa.
Lakini,kama chama kikomavu,tunatambua kuimarika kwa chama kikuu cha upoinzani nchini CHADEMA SIKU HADI SIKU. Tunatambua kuwa siasa za nchi hizi naimarika na kunoga. Zinaelekea pazuri. Zitafikia mahali ambapo wapigakura watachagua maendeleo hasa. CCM tunajiandaa kwa hilo. Tunajiimarisha kwa siasa za kihoja za haja. Tupo tayari haswa!
CHADEMA,CUF,NCCR-Mageuzi,TLP na wengineo kaeni chonjo.CCM inaimarishwa na siasa za sasa za kidijitali. Bado tupo imara!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Ha ha ha aha aha haha aaaaaaaa,aaaaaaaaaaah we acha Bwana mbavu zangu unaziumiza.Nimekumbuka maneno ya Chemical ALLI wakati ule wakiwa na Sadam Husein alivyokuwa anajitapa kuwa tumewapiga Mzee usijali kumbe ndio wanamalizikia.Kweli kabisa CCCm iko Imara sana.Ingawa tumebwagwa vibaya katika uchaguzi wa Udiwani Arusha Jumapili iliyopita, bado CCM tupo imara. Ni wazi kuwa kuanzia uchaguzi mkuu wa 2010,hasa katika chaguzi ndogo mbalimbali,kura zetu zinaendelea kuserereka kuelekea chini pamoja na kushinda sehemu nyingi nchini kwa kipindi hicho.Bado tuna nafasi ya kujirekebisha.
Chaguzi hizi ndogo ni kama mechi za kisoka. Viongozi wetu (makocha wetu) wameshauona udhaifu unaojitokeza chamani na hata kwenye kampeni.Ni watu waonaji na wasikivu.Watafanya jambo. Watakirekebisha vyema chama kuelekea 2015. CCM yetu bado imara na iko tayari kwa uchaguzi wowote mahali popote. Yeyote atakayestahili adhabu ya kichama atapewa;wa kutunukiwa atatunukiwa.
Lakini,kama chama kikomavu,tunatambua kuimarika kwa chama kikuu cha upoinzani nchini CHADEMA SIKU HADI SIKU. Tunatambua kuwa siasa za nchi hizi naimarika na kunoga. Zinaelekea pazuri. Zitafikia mahali ambapo wapigakura watachagua maendeleo hasa. CCM tunajiandaa kwa hilo. Tunajiimarisha kwa siasa za kihoja za haja. Tupo tayari haswa!
CHADEMA,CUF,NCCR-Mageuzi,TLP na wengineo kaeni chonjo.CCM inaimarishwa na siasa za sasa za kidijitali. Bado tupo imara!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Viongozi wetu (makocha wetu) wameshauona udhaifu unaojitokeza chamani na hata kwenye kampeni.Ni watu waonaji na wasikivu.Watafanya jambo. Watakirekebisha vyema chama kuelekea 2015.
Viongozi wenu wangekuwa wasikivu msingefika hapa mlipofika sasa!
Mkuu Ng'wamapalala,ipo siku utajua ukweli wangu unaoutafuta kwa nguvu kubwa mno. Uwe na wakati mwema Mkuu!VUTA-NKUVUTE bana,
Mabandiko yako mengi huwa yanaendana na kubeba ujumbe wa signature yako hii,
is this guilt conscious or just preemptive camouflage ikikumbukwa kuwa ukiwa muongo usiwe msahaurifu.