CCM bado hamjairudisha Kanda ya Ziwa

CCM bado hamjairudisha Kanda ya Ziwa

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
1,945
Reaction score
729
Kwanza niwapongeze kwa ushindi mkubwa mlioupata kanda ya ziwa japo sehemu zingine mliupora kwa walioshinda.

Ukweli ni kuwa wananchi walio wengi kanda ya ziwa bado hawana imani na CCM na wana majonzi mazito kutokana na matumaini yao kufifia.

Ushauri wangu kwa CCM ni kuwa wasipojitahidi kurudisha imani kwa wanakanda ya ziwa 2020 hali yao itakuwa mbaya sana.

Tusubiri tuone.
 
"Ukweli ni kuwa wananchi walio wengi kanda ya ziwa bado hawana imani na CCM". Ni utafiti wako au wa UKAWA?
 
safari hii ingekuwa maajabu ya 8 ya dunia
kabila kubwa kabisa limebarikiwa kumpata mgombea wa kabila lao halafu limkatae
eti likamchagukutoka Milama Meru au Kilimanjaro yaani ningewapuuza sana
HONGERENI WASUKUMA, WAHAYA, WAZINZA nk kwa kuwakataa Wachagga waachieni labda vibiashara lakini sio SIASA
ni uhakika Magufuli na CCM yake ni mpaka 2025, sasa hapo ndio tutaangalia km ni Mgogo au Mbena lkn Kaskazini wasubiri kauli ya Baba was Taifa na Ridhiwani hazijafutika
 
2010 tuliambiwa Zitto ndo aliuza Majimbo mengi ambayo Chadema ilikuwa ishinde, this time nani kauza Majimbo yenu, Dr.Slaa au Lipumba?
 
Ndo ukweli usiofichika wachaga walijiona wao wanaweza teka nchi yoote wakasahau sensa ya mwaka 2012 ilitoa takwimu gani... ona sasa Wasukuma walivowanyoooshaaa.....hahahhaah? na CDm ya mbowe isahau kuigia ikulu
 
safari hii ingekuwa maajabu ya 8 ya dunia
kabila kubwa kabisa limebarikiwa kumpata mgombea wa kabila lao halafu limkatae
eti likamchagukutoka Milama Meru au Kilimanjaro yaani ningewapuuza sana
HONGERENI WASUKUMA, WAHAYA, WAZINZA nk kwa kuwakataa Wachagga waachieni labda vibiashara lakini sio SIASA
ni uhakika Magufuli na CCM yake ni mpaka 2025, sasa hapo ndio tutaangalia km ni Mgogo au Mbena lkn Kaskazini wasubiri kauli ya Baba was Taifa na Ridhiwani hazijafutika
We mpuuzi kweli. Mbona mnatuchukia sana kaskazini? Au ni wivu wa maendeleo? Too mainstream stupid
 
Alafu mnapowazungumzia kaskazini mnawasema sana Wachaga. Huo ni wivu wa kimaendeleo tu. Wachaga ndio kabila lililoendelea sana Tanzania, kibiashara hata kielimu. By the way mimi ni mmasai
 
Kwa hii kasi ya Magufuli naimani huko tuendako chadema watakuwa na hali ngumu sana kanda ya ziwa. Maana ata kura alizokosa ni zile za mashaka kwa chama chake ila sasa ni kama anaitakasa ccm na serikali. Ngoja tuone.
 
"ukweli ni kuwa wananchi walio wengi kanda ya ziwa bado hawana imani na ccm". Ni utafiti wako au wa ukawa?

ukawa msiwe na wasi ifikapo 2020 ccm itakuwa imewatengenezea lowassa mwingine mjilipue wenyewe
 
Kwa hii kasi ya Magufuli naimani huko tuendako chadema watakuwa na hali ngumu sana kanda ya ziwa. Maana ata kura alizokosa ni zile za mashaka kwa chama chake ila sasa ni kama anaitakasa ccm na serikali. Ngoja tuone.

Huo ndio ukweli wenyewe
 
wewe Kweli umepagawa!! Mmachame ni Mmachame huwa hamnaga shukurani na hakuna kutosheka... si mrudi kwenu kaskazini!!! Majimbo na halmashauri ziko chini ya UKIWA huku mnataka nini???/
 
Kuendekeza ukabila ni ushenzi mkubwa kabisa. Nyerere ashawaambia kabila limebaki kwa ajili ya matambiko tu.
Kama unaendekeza ukabila *** You.
 
Jana JPM amemteua mchaga kuwa Kaimu Mkurugenzi Muhimbili. Hongera JPM kwa kuwa na imani na wa kaskazini kuliko walugaluga
 
safari hii ingekuwa maajabu ya 8 ya dunia
kabila kubwa kabisa limebarikiwa kumpata mgombea wa kabila lao halafu limkatae
eti likamchagukutoka Milama Meru au Kilimanjaro yaani ningewapuuza sana
HONGERENI WASUKUMA, WAHAYA, WAZINZA nk kwa kuwakataa Wachagga waachieni labda vibiashara lakini sio SIASA
ni uhakika Magufuli na CCM yake ni mpaka 2025, sasa hapo ndio tutaangalia km ni Mgogo au Mbena lkn Kaskazini wasubiri kauli ya Baba was Taifa na Ridhiwani hazijafutika

wachagga wamekushika hadi makalio kenge wewe
 
Wasukuma hawajitambui wako wengi ila waharibufu wa mazingira afadhali wametoa rais
 
wewe Kweli umepagawa!! Mmachame ni Mmachame huwa hamnaga shukurani na hakuna kutosheka... si mrudi kwenu kaskazini!!! Majimbo na halmashauri ziko chini ya UKIWA huku mnataka nini???/

tunataka tigo yako
 
Back
Top Bottom