CCM Badilisheni Mbinu CHADEMA ni Sawa na Kisiki cha Mpingo

Subutu!!!!
Ati CHADEMA kisiki cha mpingo!

Halafu wanaaomba msaada toka vyama vichovu kama chao ili kuunganisha nguvu.
Hsta Dovutwa alikuwepo Jangwani.

Achana na nambari wani weye!

toa umbulura wako hapa,suala la katiba linatuhusu watz wote mkubwa kwa mdogo na hata hao unaowaita wachovu wana haki kama yalivyo maccm.acha mawazo mgando ya kimagambamagamba
 
Nimepitia baadhi ya mawazo,sera na ilani za Vyama vikuu vitatu vya Siasa Nchini nikagundua kwamba CHADEMA ndiyo Chama pekee kinachoweza kubadilisha mwelekeo wa Kiuchumi wa Tanzania kuwa chanya zaidi na utakaokuwa kwa kasi sana kuliko sasa.Chama cha CCM kinaamini kuwa ili Uchumi ukuwe inabidi Nchi ikope zaidi na iwatoze raia wake kodi zaidi.Pia CCM wanaamini kuwa uwekezaji wa kuwapa Wageni asilimia zote mia za umiliki katika sekta za madini na gesi ni njia nyingine ya kukuza Uchumi.
CHADEMA kwa upande wao wanaamini kwamba ili Uchumi uweze kuwa endelevu (Economic sustainable growth) Nchi haina budi kuwekeza zaidi katika sekta ya elimu.Sekta ya Sayansi na Utafiti ithaminiwe zaidi na ni lazima umuhimu wake katika kukuza maendeleo ya Uchumi wa Taifa letu upewe mkazo wa kipekee na kazi zao nzuri za ubunifu na uvumbuzi ziwe rewarded accordingly ili kutoa hamasa kwa Wanasayansi na Watafiti wanaoibukia kujituma ili kuyafikia mafanikio ya wale watangulizi wao.Elimu na Maendeleo ni kama samaki na maji havitenganishw
 
Hii mbona inajulikana tu,
Yaani hapo pigia mstari mwanzo mwisho
 
"Sera za CCM ni nzuri na nina pambana kuutwa urais ili kuweza kuzitekeleza". By Dr.W.Slaa.
 
Kama elimu na maendeleo ni kama maji na samaki. Ni vyema pro CHADEMA muwashinikize wafuatao warudi shule: Mbowe, Sugu, Lema, Msigwa na Mnyika n.k
 
Out of topic,
Dada hivi umeolewa?
 
Ungekuwa mwanamama! ungekuwa na watoto wengi sana kwa wababa tofauti, inaonekana una hulka ya kushoboka!
 
Kama elimu na maendeleo ni kama maji na samaki. Ni vyema pro CHADEMA muwashinikize wafuatao warudi shule: Mbowe, Sugu, Lema, Msigwa na Mnyika n.k

HAMY-D;Kama ni uimara wa vyama CCM ni imara kuliko vyama vyote,ni chizi tu ama punguani wa akili ndiye anayeweza kupinga hili.

Lakinimni lazima tukiri kwamba baadhi ya viongozi wake ni maboya,kazi yao ni kuelea tu,tena wakiwemo wenye nyadhifa kubwa kabisa!

Chadema bado si chama imara hata kidogo hii ni kutokana na kutotapakaa katika maeneo mengi nchini,ashukuriwe mungu kwamba viongozi wake wametambua na kukiri hilo na sasa wameanza jitihada za kuhakikisha kwamba chapa kinatapakaa kwa watu,lakini hakuna ubishi kwamba Ndani ya chadema kuna watu wa maana na wenye mawazo safi kuliko baadhi ya wale walioko Ccm!

Kuhusu elimu,mara nyingi sana huwa siamini katika elimu,kwa sbb kuna watu hapa nchini ukiangalia vyeti na cv zao wanatisha lakini ni Mamburula kabisa kabisa,staki nitaje ila wanajulikana,hakuna amabcho wamesaidia nchi hii na wako ndani ya ccm,lakini kuna watu shule zao ni hizo za darasa la saba ama form four lakini wamefanya wonderfull!.

Ukiamuacha Sugu,Lema na Msigwa ambao pamoja na kuwa na shule ndogo wamekosa hata ile akili ya kuzaliwa,bado Mbowe na Mnyika ni watu sahihi sana na pamoja na kwamba wamekosa elimu hiyo mnayoitaka,lakini wanaongozwa zaidi na aki.i za kuzaliwa na busara,ingawa kidogo Mnyika naye sasa anaonekana kuanza kuongozwa na ujinga wa wakina Lema,Sugu na Msigwa!
 
Out of topic,
Dada hivi umeolewa?

Nadhani wewe una kichwa kigumu kweli. Mleta mada ndiye kaandika habari za elimu na mimi nimefanya kutoa ushauri kuhusu ishu hiyo hiyo. Halafu unadai ni "out of topic"?. kweli kilaza ni kilaza tu.
 
WABHEJASANA ni kawaida yenu kuwalaumu Wasomi wa Nchi hii kwa makosa yanayofanywa Serikali ya Chama chako chenyewe.Angalia Mfumo wa sasa ulivyo mbovu ambao unatoa rewards kubwa kwa Wanasiasa wakati Wataalamu wanapata malipo duni kutokana na michango yao katika Nchi hii.Si ajabu leo hii tunawashuhudia Wasomi na Wataalamu wakizikacha kazi zao na kukimbilia kwenye siasa ambako wanahisi ndiko kunakolipa zaidi na kwa mtindo huu Taifa ndilo linalopata hasara kwa kukosa mchango muhimu wa Wataalamu hawa katika field zao.
 
Hata wao ccm wanafaham, wanachofanya kwa sasa ni kuji defend na sio kujijenga, take it from me
 
WABHEJASANA ni kawaida yenu kuwalaumu Wasomi wa Nchi hii kwa makosa yanayofanywa Serikali ya Chama chako chenyewe.Angalia Mfumo wa sasa ulivyo mbovu ambao unatoa rewards kubwa kwa Wanasiasa wakati Wataalamu wanapata malipo duni kutokana na michango yao katika Nchi hii.Si ajabu leo hii tunawashuhudia Wasomi na Wataalamu wakizikacha kazi zao na kukimbilia kwenye siasa ambako wanahisi ndiko kunakolipa zaidi na kwa mtindo huu Taifa ndilo linalopata hasara kwa kukosa mchango muhimu wa Wataalamu hawa katika field zao.

Mkuu labda hujanielewa!soma vizuri comment yangu utajua namaanisha nini?!
 
Nimepitia baadhi ya mawazo,sera na ilani za Vyama vikuu vitatu vya Siasa Nchini nikagundua kwamba CHADEMA ndiyo Chama pekee kinachoweza kubadilisha mwelekeo wa Kiuchumi wa Tanzania kuwa chanya zaidi na utakaokuwa kwa kasi sana kuliko sasa.Chama cha CCM kinaamini kuwa ili Uchumi ukuwe inabidi Nchi ikope zaidi na iwatoze raia wake kodi zaidi.Pia CCM wanaamini kuwa uwekezaji wa kuwapa Wageni asilimia zote mia za umiliki katika sekta za madini na gesi ni njia nyingine ya kukuza Uchumi.
CHADEMA kwa upande wao wanaamini kwamba ili Uchumi uweze kuwa endelevu (Economic sustainable growth) Nchi haina budi kuwekeza zaidi katika sekta ya elimu.Sekta ya Sayansi na Utafiti ithaminiwe zaidi na ni lazima umuhimu wake katika kukuza maendeleo ya Uchumi wa Taifa letu upewe mkazo wa kipekee na kazi zao nzuri za ubunifu na uvumbuzi ziwe rewarded accordingly ili kutoa hamasa kwa Wanasayansi na Watafiti wanaoibukia kujituma ili kuyafikia mafanikio ya wale watangulizi wao.Elimu na Maendeleo ni kama samaki na maji havitenganishw

Kuwekeza kwenye elimu ni sera ya CHADEMA tangu lini?
 
Mapambazuko yanapokaribia elewa Mwangaza mzuri UNAKUJA. CHADEMA ni Pambazuko Zuri Kwa Watanzania.

SERA zimekwisha mmebakiza MISEMO, teh teh, Mwenyekiti wenu anawaelewa lakini? manake nasikia alipata zero ya HGK
 
Back
Top Bottom