CCM badilikeni, mtachezeshwa mpaka lini?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Nimejaribu kufuatilia mienendo ya wanachama wa CCM katika mitandao mbali mbali ikiwemo humu JF, kinachonishangaza ni kuona wafuasi wa CCM kwa sehemu kubwa wanajadili hoja nyingi zinazowahusu CHADEMA mfano, UKUTA, LOWASSA nk. Hapa ni sawa na Chadema kuwapigia ngoma CCM wanabakia kucheza tu.

Hivi hamuwezi kuanzisha hoja zenu wenyewe zikajadiliwa humu? Mmewataja Chadema Mara ngapi toka mwezi huu wa 8 uanze mpaka unaisha? Mmemtaja Lowassa Mara ngapi? Ninyi mmetajwa Mara ngapi tang mwezi huu uanze mpaka unaishia? Nani maarufu kwa sasa kati yenu ninyi na Chadema kwa sasa? Kwa hali hii ndio kila kukicha mnatabiri kifo cha Chadema?Kinachokufa kwanza hupotea kwenye vinywa na akili za watu lakini kwenu ninyi akili ni na vichwa vyenu ni CHADEMA/UKUTA, Eti ndio chadema kife!!

Wekeni hoja zenu ninyi humu na zinazohusu serikali mnayoiongoza watu wajadili sio kila siku chadema, Lowassa,UKUTA nk,Au msifie sifie tu kama kawaida yenu.Msipoangalia chama chenu ndicho kinachoenda kufa maana hakitajwi tajwi kama Chadema.Badilikeni bhana msidandie vvya watu.

Mtachezeshwa ngoma mpaka lini? Pigeni na yenu mcheze wenyewe kama mmeshindwa kuchezesha wengine wafanyavyo ChadChadema
 
Usiwalaumu wanaccm kwasabu kuanzia kichwa Wa chama Hadi hawa buku Tatu Nao ndivyo hivyo hivyo.Mungu kawapiga upofu
 
Kazi yao ni majungu na unafki, yan hata izo familia zao sijui zikoje asee!!
 
Hii mbinu itawasaidia sana CHADEMA kwakuwa hawa CCM hawana cha kujadili kingine zaidi ya LOWASA na UKAWA.
......wanatumika kama sabuni bila kujitambua, watakuja kushtuka wamebaki povu.....
 
Ukitaka kugombana na mwana ccm mwambie ukuta basi yeye anaweza kutumia hata saa 1 kukupinga wakati wewe umemwambia neno 1
 
Nimejaribu kufuatilia mienendo ya wanachama wa CCM katika mitandao mbali mbali ikiwemo humu JF, kinachonishangaza ni kuona wafuasi wa CCM kwa sehemu kubwa wanajadili hoja nyingi zinazowahusu CHADEMA mfano, UKUTA, LOWASSA nk. Hapa ni sawa na Chadema kuwapigia ngoma CCM wanabakia kucheza tu.

Hivi hamuwezi kuanzisha hoja zenu wenyewe zikajadiliwa humu? Mmewataja Chadema Mara ngapi toka mwezi huu wa 8 uanze mpaka unaisha? Mmemtaja Lowassa Mara ngapi? Ninyi mmetajwa Mara ngapi tang mwezi huu uanze mpaka unaishia? Nani maarufu kwa sasa kati yenu ninyi na Chadema kwa sasa? Kwa hali hii ndio kila kukicha mnatabiri kifo cha Chadema?Kinachokufa kwanza hupotea kwenye vinywa na akili za watu lakini kwenu ninyi akili ni na vichwa vyenu ni CHADEMA/UKUTA, Eti ndio chadema kife!!

Wekeni hoja zenu ninyi humu na zinazohusu serikali mnayoiongoza watu wajadili sio kila siku chadema, Lowassa,UKUTA nk,Au msifie sifie tu kama kawaida yenu.Msipoangalia chama chenu ndicho kinachoenda kufa maana hakitajwi tajwi kama Chadema.Badilikeni bhana msidandie vvya watu.

Mtachezeshwa ngoma mpaka lini? Pigeni na yenu mcheze wenyewe kama mmeshindwa kuchezesha wengine wafanyavyo ChadChadema

Hoja yako ingekuwa hata na chembe ya mantiki kama yafuatayo yangefanyika; Bunge lingeonyeshwa live, katazo la Mikutano ya kisiasa mpaka 2020 lingeinuliwa, Lema na Mwalimu wasingekuwa gerezani, Mbowe angeruhusiwa kutumia nyumba yetu n.k.
 
Siwalaumu ninawashauri hawa, sijui hua hawashauriani.
dogo wenzako wanalia huku UKUTA fundi kaongeza maji kibao ni bora hata ungekuwa wa tope
jiulize kwanini CHADEMA hakai na CUF anamg'ang'ania CCM tu?
kwanini CHADEMA anataka IKULU kwa gharama yeyote
Siasa hazina chuku na maandamano
safari hii Mh Magufuli kawashika pabaya na operesheni ya mwisho ni hii ya UKUTA
jukwaa litapoa sasa
image-jpg.389246
 
Hoja yako ingekuwa hata na chembe ya mantiki kama yafuatayo yangefanyika; Bunge lingeonyeshwa live, katazo la Mikutano ya kisiasa mpaka 2020 lingeinuliwa, Lema na Mwalimu wasingekuwa gerezani, Mbowe angeruhusiwa kutumia nyumba yetu n.k.
hahahahaaaaaaa! si unaona? hii ni kudhihirisha alichosema mtoa mada ni cha kweli.wa lumumba hamna thread nyingine humu jf zaidi ya kuitaja CDM au UKAWA.mna akili mgando, tokeni mpigwe na jua zipate kuyeyuka kidooogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom