Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,520
- 6,517
I wish I could be RC of AR!!! Huruma sana aisee.Mzee mwenye nyumba akiona hii picha anatamani angekuwa rc wa Arusha
Semi trella imebeba watu kumi.jamani watu wa Arusha hamuoni japo huruma ya mafuta ?Nasikia wamesombwa na lori moja kutoka Loitoktok..
Tena la mchanganiCcm ni sawa na soka la bongo
In UPI hio ? Wanapendwa halafu wanakula viwavi jeshi ?Ule mkoa pendwa wa ccm?
Namnukuu: I wish I could be IGP.Hahahaha. Yeye hutamani kuwa kila kitu.
Anatamani gunia la chawa ajikuneYes hata pale alipo anaona hapamfai
Alitamani angekuwa Kitwete wajumbe wa NEC walipomwimbia Kikwete kuwa na imani na Lowassa.Namnukuu: I wish I could be IGP.
Mtaambiwa ni Photoshop [emoji23][emoji23]Umeona hiyo nyomi?