Duuu yaani hata kura yako wakaiba?Mnanikumbusha ya Kagasheki kuita watu wa Sokoni kumnanga Meya akisema alimuumba mwenyewe na kumtengeneza mwenyewe wakati Amani akiwa amekaa na mke wake pale. What was the vedict. Aliyeumba pamoja na kutumia wanafunzi wa Sekondari kupiga kura shuleni, zilikamatwa na akakosa. Amani ni Diwani. Majimbo mengine yangekuwa na watu kama Bukoba mjini wangekata hilo goli la mkono. Dodoma nina kumbukumbu ya kupiga kura kwa mtu fulani lakini kuangalia ubaoni niliyempigia kura kapata 0 that was 1995.
Arusha wabaya sana..Duuu nyomi la kufa mtu
Naona huruma zile pikipiki walizogawa...Mzee mwenye nyumba akiona hii picha anatamani angekuwa rc wa Arusha
Ahamishe na Makao Makuu ya EAC apeleke Chato..Ahamishe na mlima Kilimanjaro lkn ccm haitakiwi tu
Wameedit [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]