CCM Arusha yatisha

Ccm mbele kwa mbele, akili zinaturudi taratibu!
 
Hongereni wana arusha. Sasa hivi mkoa unaotuabgusha ni kule tu kwa wakina bashite.
 
Haijawahi kutokea toka tupate Uhuru ni kiama inabidi first aid wawepo na magari ya wagonjwa.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kwakweli
maake watu watakanyagana sana na kukosa hewa
 
Hapa arusha tunatafuta ela tu mbunge yuko uraian hatuna lomoni nyingi tunapiga kazi kazi bampa tu bampa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…