CCM Arusha yamtega Pinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Arusha yamtega Pinda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msharika, Jan 12, 2011.

 1. M

  Msharika JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mewenyekiti wa CCM Arusha amtaka waziri Mkuu atoe tamko juu ya utata wa Meya arusha. Ni kumbeep mtoto wa mkulima au nikutafuta kujitoia kwenye tope alilozama?
  Source :: IPPMEDIA:party:
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  Halmashauri zote nchini ziko chini ya ofisi ya waziri mkuu kwa mujibu wa katiba iliyozeeka.
  Hivyo ni Jukumu la Mtoto wa Mkulima kutoa tamko la serikali, siyo Makamba anayeropoka kuwa uchaguzi hautarudiwa.
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wote ni wale wale!
   
 4. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,937
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  Chatanda ndiye kalianzisha asitafute msaada atalinywa mwenyewe.
   
 5. n

  nyanungu magena Member

  #5
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  mtoto wa mkulima an wakati mgumu anajiandaa kwenda kulia mbungeni kana kwamba ameguswa na mauaji ya wananchi wasiokuwa na hatia,pili unajua makamba ndio mwajili wake.
   
Loading...