CCM Arusha wapigana kisa UBUNGE

Wameanzia bar kwa kila mmoja kumwambia tuu mwingine kwamba atagombea, sasa wakikutana ktk office wakati wa kuchukua form, kurudisha na hata ktk kampeni za ndani itakuweje?

Hili ni dowa kubwa sana kwa ccm na aibu sana
 
Hili ni dowa kubwa sana kwa ccm na aibu sana

Kwani wanayaona hawa wahuni??? Jamaa walisha fungwa kwa ujambazi wa silaha ndio wanao kumbatiwa na Ccm kwa sababu ya pesa za wizi. Ccm imekosa maadili 110%
 
Lema ni Master wa Arusha..haya majamaa hata hayajui yanapigania nini ?Km vile hayujui ubunge upo kwa mwenyewe na mwenyewe ndio anazidi jisimika.
 
Wahangaike kuliko Jambazi Nyari bora huyu mdosi bushbuck
 

Attachments

  • 1437187509607.jpg
    84.1 KB · Views: 214
Kwani wanayaona hawa wahuni??? Jamaa walisha fungwa kwa ujambazi wa silaha ndio wanao kumbatiwa na Ccm kwa sababu ya pesa za wizi. Ccm imekosa maadili 100%
Sema kuu ya ccm lazima ufisadi ukiweka na hiyo nyingine mambo yanaenda bambam
 
Nyari yupi anataka kuongoza wajane alioua waume zao kwa kuwanyanganya tanzanite. Kampeni manager wake atakuwa jambazi Banjoo. Baaada ya kushinda ujambazi utahalalishwa rasmi

Umesema kweli mkuu meneja kampeni atakuwa huyo mshikaji!
 
Ongeza na Mojaa wa daraja mbili naye alishahukumiwa na akatolewa kwa kazi maalum,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…