Bavicha bhana...Hayo yametokea mdaa si mrefu kati ya mfanyabiashara Thomas Munisi na Jastin Nyaria kwenye bar ya Tanzanite Kimandolu na wananchi wameondoka kwenye bar hiyo nakusema sisi tunamtambua Godbless Lema
Hii ni mwendelezo wa ccm kukataliwa Arusha mjini
Majambazi yanapigania uongozi. Halaf huyu jamaa Simon wa tanzanite asipoangalia ataharibu biashara yake.unaruhusu vipi majambazi yapigane kwenye biashara yako.
hamnamwenye sumuya panya hapo unawawekea kwenye drink wakirudi wakapigane peponihayo yametokea mdaa si mrefu kati ya mfanyabiashara thomas munisi na jastin nyaria kwenye bar ya tanzanite kimandolu na wananchi wameondoka kwenye bar hiyo nakusema sisi tunamtambua godbless lema
hii ni mwendelezo wa ccm kukataliwa arusha mjini
Hivi Arusha kuna Jambazi zaidi ya Kichaa Lema. Nyari atamfuta kwenye ramani peupee
Hivi tunaposema Ukilisimamisha Jiwe na ccm Arusha jiwe litashinda.
Hii kauli ccm hawaielewi au wanajifanya vichwa ngumu...
Maccm ni kama fisi, tamaa zimewajaa.
Waache watoane roho kwa wasichokuwa na Uhakika wa kukipata!!
Wameanzia bar kwa kila mmoja kumwambia tuu mwingine kwamba atagombea, sasa wakikutana ktk office wakati wa kuchukua form, kurudisha na hata ktk kampeni za ndani itakuweje?Hayo yametokea mdaa si mrefu kati ya mfanyabiashara Thomas Munisi na Jastin Nyaria kwenye bar ya Tanzanite Kimandolu na wananchi wameondoka kwenye bar hiyo nakusema sisi tunamtambua Godbless LemaHii ni mwendelezo wa ccm kukataliwa Arusha mjini