Kijana mwakilishi wa wanachuo yule uv-ssm,alimbwela kwani alitumwa, hakusema chochote zaidi ya kutangaza sera yao ya chama,KAMA VIJANA HAWAWEZI KUTHINK NI SHIDA KUBWA,KWA MBWEMBWE ETI VIJANA TUNASEMA SERIKALI MBILI NDIO INAFAA,ILHALI VIJANA TOKA VYUÖN WAKO MAZOEZIN KWA VITENDO WAPO HOI,Vijana wanatumwa na wanatumika(watumwa).