Jibaba Bonge
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,246
- 404
................... Labda wampe maswali ahead of time lakini ...............
....
NN, umenikumbusha last time alipokuwa akihojiwa na Tido Mhando (puppet) pale TBC. Inaelekea yeye mwenyewe ndiye aliyeandaa maswali halafu akaanda na majibu yaliyochapishwa kwenye karatasi. maswali akampa Tido ili (Tido) amuulize JK. wakati wa kujibu akawa anasoma kwenye karatasi lake!!!! halafu waliandaliwa watu mikoani waliouliza maswali yenye majibu tayari. Wenye maswali yanayoeleweka walipokuwa wakipiga simu zilizotolewa na TBC ama line zilikuwa hazipatikani ama swali lako linasikilizwa kwanza na wapambe halafu simu inakatikika haipatikani tena mpaka kipindi kikaisha!!!