Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,335
- 72,799
Leo mhe Magufuli alikuwa anazindua mradi mpya wa ujenzi wa Fly over katika jiji la Dar. Ni mradi mzuri kabisa na sio wa Dar pekee bali wa kitaifa.
Sasa ajabu wapo watu wamekuja wamevaa kofia, mashati na kanga za ccm kama vile wameenda kwenye mkutano wa kampeni kwa nini?
Hivi hawana nguo nyingine za kutokea mpaka hizo tuu?
Huu ni Ushamba wa hali ya juu, wanaccm waelimisheni wenzenu kuwa kufanya uzinduzi wa miradi ya kitaifa kama shughuli za chama ni ujinga na uzumbukuku usiokubalika