CCM acheni kujilinganisha na chama cha China

CCM acheni kujilinganisha na chama cha China

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,277
Reaction score
13,920
kila siku kusema chama ni kama cha China je nmaweza kufanya haya kwa mtu wa CCM?

1664282763100.png



Lakini hii serikali inaweka waislamu kwenye kambi maana wanataka kila mtu awa abudu wenyewe yaani Chama. Idadi ya watoto unapangiwa na serikali! Jiulize ukizidisha inakuwaje?

Kwenye mitandao kumekuwepo na watu wanadandia kujilinganisha na hawa makatili. Namkumbuka Polepole alikuwa anataka tuwe kama hawa bila kusema yote
 
Ni kweli china wanajielewa Kama mchangiaji wakwanza alivosema, Hawa CCM huo uwezo hawana, maana haki hutendwa na mwenye mikono safi... sasa kwa usafi gani walionao Hawa mabwana?
Hadi wafikie hatua hiyo
 
Back
Top Bottom