CCJ wameishia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCJ wameishia wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyani Ngabu, Jul 6, 2012.

 1. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Hivi kile chama cha CCJ (CCK?) kimeishia wapi?
   
 2. Ben Mugashe

  Ben Mugashe Verified User

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 940
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kiko mifukoni mwa Watu kinasubiri wale watakaofukuzwa kwenye vyama vyao vya sasa :A S 465:
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Wanachama wake wengi bado wapo misitu ya pande wanasubiri Noma Yao kuhusu dr ulimboka isanuke
   
 4. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Tumuulize Nape anaweza kuwa na jibu sahihi. Labda anasubiri CCM kinuke aibuke tena na chama chake
   
 5. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  Mpendazoe alikzidoa,kimekosa wateja sababu uasisi wake una element za usaliti
   
 6. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Kina subiria 2015 kiibuke tena. Sasa hivi kipo mapumziko. Ila kuna member fulani humu alikipromote sana 2010 atakua anajua zaidi.
   
 7. R

  RC. JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 446
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  muulize makonda,samweli stta,mwakyembe,na nape nnauye!
   
Loading...