CCJ isiposajiliwa.......?

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
Tangu mfumo wa vyama vingi umeingia TZ, sijasikia chama kilichopata usajiri kwa mikiki kama CCJ

Swali langu ni hili, hivi chama hiki kisipopata usajiri kuna athari zozote kisiasa, kiuchumi na kijamii?
 
Uhuru wa kuwa mwanachama wa chama husika hautokuwepo hivyo kupelekea democrasia kudidimizwa kwa wanachama kushindwa kumpigia kura mgombea wa chama husika.
 
Uhuru wa kuwa mwanachama wa chama husika hautokuwepo hivyo kupelekea democrasia kudidimizwa kwa wanachama kushindwa kumpigia kura mgombea wa chama husika.

Hivi ktk vyama vyote hakuna chama chenye sera sawa na za CCJ huyo mgombea akagombea kupitia chama hicho?
 
Kipo, mtakisikia hivi karibuni Tendwa atakapoamua kuendeleza usanii wake.
 
Hivi ktk vyama vyote hakuna chama chenye sera sawa na za CCJ huyo mgombea akagombea kupitia chama hicho?
Nadhani chama chenye sera zinazoendana kipo,ni suala la viongozi wa CCJ kujipanga na kuangalia uwezekano huo. Tatizo mojawapo la vyama vyetu ni suala la umimi,kila chama kitataka kuwa na mgombea wake.
 
Back
Top Bottom