kula kwa tindo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,330
- 324
- Thread starter
-
- #21
Ungeweka chuki pembeni ungeujua ukweli.Ni kweli kabisa muanzilishi au muasisi wa CBRT ni Dr.W.Slaa.Pole lakini ndiyo ukweli.Anaweza kuwa na mapungufu yake kama binadamu lakini ana mema yake pia kama binadamu.Chukua mazuri acha mabaya.Msifie pale anapotenda zuri,mshauri anapopotoka.
Ndugu Edward Sambai, naona unashangaa kwa kumjua huyu mmoja, utakuja kushangaa zaidi pale utakapokuja kugundua kuwa asilimia kubwa ya watu waliopora madaraka ya Tanzania wanatumia zaidi ya 90% ya muda, juhudi, rasilimali nk kuupinga ukweli. Kama tumelaaniwa vile!!! Sasa mleta mada analeta jamvini hoja iliyo wazi kwa nia njema ya kutaka kujua CCBRT lakini anatokea mtu hataki kabisa kusikia huu mjadala. CCBRT anatusaidia wengi na tuna haki ya kujua.Mkuu, kwanini unaamka asubuhi na kuwai kwenye mitandao ya kijamii kwa nia moja tu "kupinga ukweli"?
Na kwakufanya hii kazi nini hasa unafaidika maana upo hapa jf asubui mpaka giza linaingia na kazi yako ni kukera watu na kuwakatisha tamaa wapenda mabadiliko.
Chuki mbaya saana!!
Chuki mbaya saana!!
Ndugu Edward Sambai, naona unashangaa kwa kumjua huyu mmoja, utakuja kushangaa zaidi pale utakapokuja kugundua kuwa asilimia kubwa ya watu waliopora madaraka ya Tanzania wanatumia zaidi ya 90% ya muda, juhudi, rasilimali nk kuupinga ukweli. Kama tumelaaniwa vile!!! Sasa mleta mada analeta jamvini hoja iliyo wazi kwa nia njema ya kutaka kujua CCBRT lakini anatokea mtu hataki kabisa kusikia huu mjadala. CCBRT anatusaidia wengi na tuna haki ya kujua.
kwenye website ya CCBRT kuna kila aina ya habari mkuu umeshacheki?
Who we are: CCBRT
Hongera DR.Slaa..
Unastahili kuitwa Mtanzania Mzalendo!!
Ndugu Edward Sambai, naona unashangaa kwa kumjua huyu mmoja, utakuja kushangaa zaidi pale utakapokuja kugundua kuwa asilimia kubwa ya watu waliopora madaraka ya Tanzania wanatumia zaidi ya 90% ya muda, juhudi, rasilimali nk kuupinga ukweli. Kama tumelaaniwa vile!!! Sasa mleta mada analeta jamvini hoja iliyo wazi kwa nia njema ya kutaka kujua CCBRT lakini anatokea mtu hataki kabisa kusikia huu mjadala. CCBRT anatusaidia wengi na tuna haki ya kujua.
Dr.Slaa sio Muasisi wa CCBRT.
Hivi mkiwa pale Ufipa ndiyo uwa mnadanganya au Dr.Slaa anawadanganya kweli Dr.Slaa kawashikia akili.Muasisi wa CCBRT ni Dr. Wilbroad Slaa na kama sikosei kwa sasa ndiyo Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi.
Dr.Slaa sio Muasisi wa CCBRT.
Hivi mkiwa pale Ufipa ndiyo uwa mnadanganya au Dr.Slaa anawadanganya kweli Dr.Slaa kawashikia akili.
Founder and director CCBRT ni Richard Moore yupo na wenzake watatu.
Dr.Slaa ni member tu wa bodi.
nampa hungera na sifa nyingi sana slaa kwa kuwa miongoni mwa waanzilishi wa ccbrt.Dr Willibrod Slaa anastahili kuwa Rais baada ya Jakaya Mrisho Kikwete. Mungu Ibariki Tanzania.
Habari wana JF..
Naomba kujuzwa kupitia Jamvi letu,Mmiliki au Mwanzilishi wa CCBRT ni nani!? Kwani ni taasisi pekee inayotoa huduma mzuri na kwa gharama nafuu mno kuendana na hali halisi ya Mtamzania..
Naomba kwa anayefahamu anijuze!!