Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,372
we mtaanzania gani miaka ya sasa utamdanganya na sera ya vita?hiyo ilikuwa zamani,unapoteza mda wako burechadema wanapanga kuleta vita,tuwe makini jamani.
we mtaanzania gani miaka ya sasa utamdanganya na sera ya vita?hiyo ilikuwa zamani,unapoteza mda wako burechadema wanapanga kuleta vita,tuwe makini jamani.
wezi wa kura wenzako ndani ya CCM ndiyo watakaoleta vita ktk nchi hii.chadema wanapanga kuleta vita,tuwe makini jamani.
huu ndio ubaya wa chama kukosa sera maalumu...sasa baada ya rais kulekebisha baraza sijui watapiga kelele gani hawa magwanda..