Mvuvi mmoja karudi kwake na samaki mkubwa aina ya chewa(anaishi kwa muda nchi kavu) akamwabia mkewe afanye haraka wamkaange ana njaa, mke akamjibu mafuta dukani yamepanda bei, akamwambia mbanike kwenye oven, akajibu umeme umekatika, akamwambia mchome basi na mkaa, akajibu mkaa aghali hatujanunua. Mvuvi akamchukua yule samaki mpaka baharini na kumrusha kule, yule samaki kuingia tu baharini akatoa kichwa akasema:"CCM OYEEEEEEEEEEEEE":flock:akapotea.