Cc Miss Chagga

Ooops, real? Mbona hiyo ilikuwa kitambo kidogo...!! Kumbe ile siku niliyokuja kivingine pande hizi na kukupa hi, basi ningemalizia kabisa kwa kusema "...come on neddy, get no sick am here just chilling!!!"

hahaha umeona eeeh
 
sema na wewe sometime punguza kula bati bhana... tena ngoja... hivi wakati wa krismasi linapikwaga pilau vile? manake dah, nimelimisije!

hahaa yeah pilau must karibu kesho tujumuike
 
hahaa yeah pilau must karibu kesho tujumuike
We mtoto wa wapi wewe!!?? Sumu ya panya haionjwi, shauri yako! Siku utakuja kushangaa , mara eh, njemba hii hapa... nani mwenzangu; naitwa NasDaz, si jana ulinikaribisha siku kuu!!! narudi zangu ghetto, naacha manung'uniko huku nyuma: "mijitu mingine bhana, haijaribiwi...!"
 
Kumbe kweli sijakuona muda mrefu miss neddy... yaani from avatar ya Kidosi hadi ya mtoto wa Kihabeshi!!!
 
Last edited by a moderator:

hahaha huku sisi wanyantuzu hatunaga uchoyo wageni ni baraka kwetu njoo kwa moyo mkunjufu
 
hahahaha ile nilitoa si unajua mwaka mpya mambo mapya
unavyojua kuchagua avatar mzuri... na ukiendelea kufanya inspection ya nguvu hadi kwa mtarajiwa kama ufanyavyo kwenye avatar basi ndoa utafanya kuiskia tu kwenye social networks!
 
I am proud my son to be a copy & paste of me. Big up kwa huyo mwanamume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…