Tusichukulie siriaz kivipi wakati hizo ni picha za watu?? Zingekuwa katuni za kuchorwa tungesema kweli huu ni utani.... Imagine ungekuwa ndo wewe au ndugu yako ndo kawekwa hivyo
dMambo uliyoyasema kwenye hiyo comment ni..
1. Tusichukulie mambo serious
2.Tukusamehe kama umekosa
Namba 1 haiwezekani kama unaona inawezekana kwanini usingeweka picha yako au ya ndugu yako?
Namba 2. watakusamehe hao uliowakejeli sio mimi.
d
kama una stress za maisha usiniletee mimi picha zote zinazowekwaga hapa umeona hii tu kama imekuchefua kalambe ndimu usitapike
Watu waliozaliwa utawala wa ndio mzee namaanisha Nyerere na kurudi nyuma wana roho za kikoloni sana
naona leo una stress za sikukuu kama hiyo picha imekutach pole
Tusichukulie siriaz kivipi wakati hizo ni picha za watu?? Zingekuwa katuni za kuchorwa tungesema kweli huu ni utani.... Imagine ungekuwa ndo wewe au ndugu yako ndo kawekwa hivyo
naona leo una stress za sikukuu kama hiyo picha imekutach pole
ishhh! Ww vp mbona unaoka povu?
Ndio maana ulinuna mchana nakuita hata huitiki?
ana mastres yake huyo alinipiga mzinga wa laki tano eti akanunue kiwalo cha xmas nikamchinjia baharini ndio kanuna mwanzo mwisho hata nikimgusa hasisimki
Hongera kwa kuwa wewe sura uliyonayo ni juhudi zako binafsi
ana mastres yake huyo alinipiga mzinga wa laki tano eti akanunue kiwalo cha xmas nikamchinjia baharini ndio kanuna mwanzo mwisho hata nikimgusa hasisimki
ana mastres yake huyo alinipiga mzinga wa laki tano eti akanunue kiwalo cha xmas nikamchinjia baharini ndio kanuna mwanzo mwisho hata nikimgusa hasisimki
vp ww? Hyo si ya dukan tu? Mbona unawaka hvyo
Hapo mwisho ndio umeniambia nini? unataka nilianzishe sio?