Cc Miss Chagga

ha ha ha ha ha miss neddy pesa tamu kama ni binti nitajuta uwiiii
 
Last edited by a moderator:
sidhani kama kuna binadamu bora kuliko wengine
 
Khantwe stroke Mwanapropaganda MUSSOLIN jifunzeni kutochukulia kila kitu seriously ila kama imewagusa kwa namna moja ama nyingine hii picha samahanini

Hivi ungejisikiaje kama ni wewe ndio unajadiliwa kwa vicheko vya dharau na watu usiowafahamu?

kama hujui kusoma na kuelewa hiyo comment hiyo niliyokumention hapo juu pita ---------->

Mambo uliyoyasema kwenye hiyo comment ni..
1. Tusichukulie mambo serious
2.Tukusamehe kama umekosa
Namba 1 haiwezekani kama unaona inawezekana kwanini usingeweka picha yako au ya ndugu yako?
Namba 2. watakusamehe hao uliowakejeli sio mimi.
 
Last edited by a moderator:
Khantwe stroke Mwanapropaganda MUSSOLIN jifunzeni kutochukulia kila kitu seriously ila kama imewagusa kwa namna moja ama nyingine hii picha samahanini

Tusichukulie siriaz kivipi wakati hizo ni picha za watu?? Zingekuwa katuni za kuchorwa tungesema kweli huu ni utani.... Imagine ungekuwa ndo wewe au ndugu yako ndo kawekwa hivyo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…