zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
jamani CBE hawaja achia bado.
Kumbe nawe ulikua unawait selection?
Ha ha ha selection zina watu wake.
Matokeo ni mazuri
zubedayo_mchuzi bado unasubiri chuo tu mtu wangu ha ha ha ha hah, huu mwaka kaazi kwelikweli. Wenzi tushashusha pumzi.
Tembelea tovuti yao
yaani wewe ni kilaza mpaka ukasome CBE??????????