Marketing inalipa sana siku hizi,kwa chuo nenda UDSMThinkers naombeni mnieleweshe kuhusu hii course ya mba(marketing) kwa vyuo nilivyovitaja hapo juu Hadi kumaliza miaka miwili bajeti niandae shilingi ngapi?
Changamoto za vyuo nilivyovitaja na sifa yake kwenye soko la ajira,kwa mwaajiliwa akisomea hiyo course unaweza kumfanya aje kua nani?
Nawasilisha kwenu thinkers.
Administration yao ni mbovu sana hao CBE.Idara zote Kuna bureaucracy sana.Kama unafatilia jambo liwe academic au la kawaida utazungushwa kila ofisi.Matokeo yako kuyapata utafatilia hata wiki mbili.Hao kitengo cha IT ndio pumba kabisa.Soma CBE achana na udsm ukiwa CBE utakuwa vizuri zaidi sababu wenyewe wamejikita Tu masomo ya business
Kwanza degree alisoma program ganThinkers naombeni mnieleweshe kuhusu hii course ya mba(marketing) kwa vyuo nilivyovitaja hapo juu Hadi kumaliza miaka miwili bajeti niandae shilingi ngapi?
Changamoto za vyuo nilivyovitaja na sifa yake kwenye soko la ajira,kwa mwaajiliwa akisomea hiyo course unaweza kumfanya aje kua nani?
Nawasilisha kwenu thinkers.
Unaelewa maana ya "university" kweli?Thinkers naombeni mnieleweshe kuhusu hii course ya mba(marketing) kwa vyuo nilivyovitaja hapo juu Hadi kumaliza miaka miwili bajeti niandae shilingi ngapi?
Changamoto za vyuo nilivyovitaja na sifa yake kwenye soko la ajira,kwa mwaajiliwa akisomea hiyo course unaweza kumfanya aje kua nani?
Nawasilisha kwenu thinkers.
Hivi watu huwa mnatumia nini kufikiri? Wapi mtoa mada kalinganisha vyuo? Kaomba ushauri chuo cha kwenda hakuna sehemu aliyosema chuo kipi ni bora zaidi dah.Unaelewa maana ya "university" kweli?
Huwezi linganisha chuo kikuu na college.
Akili yako na macho vipo matakoni vimezibwa na kinyesi mtoa mada kaomba ushauri aende wapi sio kulinganisha hizo taasisi mbili ndogo na kubwaUnaelewa maana ya "university" kweli?
Huwezi linganisha chuo kikuu na college.
Ushanolewa miguu imeisha sasa unanolewa akili wap mleta mada kalinga isha cbe na yudizimuunalinganisha CBE na UDSM?
Unajua tofauti zao?
Boss hiki kipimo chako ni cha wapi, nani alikuambia kuitwa University basi automatically ni better kuliko collegeWe jamaa uko serious kweli,
Yaani imefikia hatua unafananish university na college, kumbe cku hiz universities nd zinadharaulika hivyo!!