Cbe kuanzisha kozi za urubani

ndugu umechanganya madawa ,ni chuo cha nit bwana.
 
Sitakuja kupanda ndege inayorushwa na rubani aliyesoma CBE, i swear..
 
Mkuu Masiya kuna PM nimekutumia naomba uiangalie..kuna mambo naomba ufafanuzi kuhusu NIT

Yyeah, huyu lazima alimaanisha wanataka kutoa cozi ya wahudumu (attendant) amejichanganya tu la sivyo hajui maana ya marubani na wahudumu kwenye ndege, yeye anajua kila aliye kwenye ndege ni rubani.. Dah, wabongo bwana

and hope you must be having ka-degree ka uhasibu ka kununua cbe. taratiiibu unataka tukujue na wewe umo
 
Yyeah, huyu lazima alimaanisha wanataka kutoa cozi ya wahudumu (attendant) amejichanganya tu la sivyo hajui maana ya marubani na wahudumu kwenye ndege, yeye anajua kila aliye kwenye ndege ni rubani.. Dah, wabongo bwana

and hope you must be having ka-degree ka uhasibu ka kununua cbe. taratiiibu unataka tukujue na wewe umo.
 
Good news hatuna haha ya kwenda Ulaya na South. Mambo yote hapahapa
 
Acha kudanganya watu chuo cha cbe Tawi la mwanza wanatoa bachelor hizi
1.bachelor ya procurement
2.bachelor ya business administration
3.bachelor ya marketing
4.bachelor ya account
5.bachelor of business administration with education
Kwa level za 4 na 5 inaongezeka IT(INFORMATION TECHNOLOGY)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…