MwanaCBE
JF-Expert Member
- Sep 23, 2009
- 1,771
- 804
Imekuwa muda mrefu sasa katika chuo hiki cha biashara Dodoma (CBE) kuendeshwa kienyeji mno kiasi kwamba chuo kuonekana kama hakina uongozi.
Mambo yanafanyika hovyohovyo mno katika chuo hiki kikongwe. Vice principal (Kiputiputi) amuzeeka akili, hana fikra mpya za kukisaidia chuo hiki kiweze kuendana na mabadiliko ya sasa ya kiulimwengu katika utoaji wa elimu.
Serikali nayo imekiterekeza kabisa chuo hiki. Wizara ya viwanda na biashara ni kama haitambui ina chuo ambacho kiko chini yake kinachoitwa CBE.
TUNATAKA MABADILIKO.