Cba bank

Cba bank

Moise Aimar

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
687
Reaction score
1,117
Wadau Bank ya CBA walitangaza kazi mwezi wa kwanza any idea kuhusu interview wameshaita watu?
 
Mwanajf hata mm niliapply lkn naona kimya ss cjui tujipe hope kwamba ni bado au tu-give up kuwa tyr walishaita ktk interview! Anyway tuwe na sbr!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom