Caustic soda kwa ajili ya utengenezaji wa sabuni

Caustic soda kwa ajili ya utengenezaji wa sabuni

Consolata2000

Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
40
Reaction score
4
Habari

Jamani nahitaji Caustic soda kwa ajili ya utengenezaji wa sabuni. Inauzwa sh ngapi kwa wajasiriamali wenzangu mnaofahamu, na inauzwa wapi hapa Dar?
 
inauzwa kariakoo-gerezani, ulizia duka la wahindi la sabuni karibu na wauza kiboko tank kwa jumla
 
Habari

Jamani nahitaji Caustic soda kwa ajili ya utengenezaji wa sabuni. Inauzwa sh ngapi kwa wajasiriamali wenzangu mnaofahamu, na inauzwa wapi hapa Dar?

embu ukifika hapo ulizia na hii SULPHONIC ACID then utujuze cc consolata2000
 
Na kuwa mwangalifu sana na caustic soda. Hiyo pamoja na maji huwa inayeyusha nyama mpaka mifupa kwa mda mchache sana.

Sent from my SM-N900 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom