Duuhhiyo soda ni tamu...?
Hujataja upo pande gani za nchi ili watu wasisumbuke kukupigia kumbe mpo pande tofauti za nchi kwa zaidi ya 1500kmNdugu wana wanajukwaa habari yenu.
mimi mjasliliamali nahitaji CAUSTIC SODA kwa bei ya jumla, ya utengenezaji wa sabuni.
Wauzaji wa jumla anichek 0758327174 chap ziite.
wewe ulieonja umeonaje..??Ukionja utaona
kwa hiyo shida yako ya ulimi ulishawahi kwenda kwa Daktari..?Sijaona chochote nina tatizo la ulimi
Okay, wakati unasubiri wadau kuja kwenye uziapo,nikushauri kama una mtu Kigoma akusaidie kucheck kwa watengenezaji sabuni wa kule maana Kigoma nadhani ndo mabingwa wa kutengeneza sabuni Tz kwa mazingira ya jamii na uzuri ni jirani na Tabora hata kama watakuwa wanatoa Burundi (Wanaweza wakampa chimbo huwa wananunulia wapi, ningekuwepo Mwanza ningecheck maana I guess hata Kigoma wanachukulia Mwanza ila sina uhakika)Mimi nipo tabora
Shukran sana ndg kwa haya maelekezo barikiwa sanaOkay, wakati unasubiri wadau kuja kwenye uziapo,nikushauri kama una mtu Kigoma akusaidie kucheck kwa watengenezaji sabuni wa kule maana Kigoma nadhani ndo mabingwa wa kutengeneza sabuni Tz kwa mazingira ya jamii na uzuri ni jirani na Tabora hata kama watakuwa wanatoa Burundi (Wanaweza wakampa chimbo huwa wananunulia wapi, ningekuwepo Mwanza ningecheck maana I guess hata Kigoma wanachukulia Mwanza ila sina uhakika)