j.pape,Nanukuu...
Mimi ni mfanyakazi wa kampuni fulani hapa Dar. Ni muajiriwa yapata miezi mi 4 sasa. Tangu nianze kazi hapo kuna dada ambaye ameonyesha kila dalili ya kutaka kuwa na mimi kimapenzi! Ninafamilia na watoto kwahiyo sipendi kujihusisha katika mambo kama hayo. Siku moja wakati wa sherehe ya kuwapongeza baadhi ya wafanyakazi huyu dada alinibana katika kona akataka kunibusu (busu kubwa) lakini nilimzuia na hakufanikiwa!
Siku mbili baadae nilipokuwa nikiingia kazini asubuhi kwa kutumia 'elevator' mambo yalikuwa sivyo kwani dada huyo aliingia katika 'elevator' ambayo mimi nilikuwemo kupitia floor ya 2! Kwabahati mbaya tulikuwa wawili tu! Baada ya kuingia na kuanza kuelekea floor ya 6 hapo katikati alinikumbatia ghafla huku akinibusu kwa lazima! Kitendo hicho kilinihuzunisha kwani halikuwa lengo langu pia nilijua mule ndani ya 'elevator' kuna kamera za ulinzi!!
Ilipofika saa kumi jioni mtu wa IT wa kampuni yetu alinipigia simu kwamba anamazungumzo nami na aliniambia kwamba ameona vyoote 'tulivyofanya katika elevator'
Ameniomba nimpe Tshs. 2.5M haraka iwezekanavyo ili aweke kapuni hizo picha na kama sivyo basi atazipeleka kwa bosi!!!
Sasa mimi uwezo wangu ni mdogo kwani hizo pesa sina...
Je, nikambembeleze huyu IT amezee? Nikajikamatishe kwa bosi na kumueleza ukweli? Je, mke wangu akijua itakuwaje kwani nashindwa namna ya kumuelezea!!
Naomba msaada wenu...
j.pape,
mara kadhaa nimekulalamikia FONTI ya post zako lakini unajifanya kichwa ngumu!nitakupa ban kama utaendelea hivyo
pia huyo mtaalamu wa I.T naona anataka pesa ya x-mass ingawa stori yako IMETUNGWA!
Sasa kama uliweza kumzuia siku mbili kabla ya tukio ulishindwa vipi kumzuia kwenye elevator, utakuwa na wewe ulikuwa unataka si bure, au unataka maujiko tuu uonekane kuwa na wewe ni wanted commodity.Siku moja wakati wa sherehe ya kuwapongeza baadhi ya wafanyakazi huyu dada alinibana katika kona akataka kunibusu (busu kubwa) lakini nilimzuia na hakufanikiwa!
Siku mbili baadae nilipokuwa nikiingia kazini asubuhi kwa kutumia 'elevator' mambo yalikuwa sivyo kwani dada huyo aliingia katika 'elevator' ambayo mimi nilikuwemo kupitia floor ya 2! Kwabahati mbaya tulikuwa wawili tu! Baada ya kuingia na kuanza kuelekea floor ya 6 hapo katikati alinikumbatia ghafla huku akinibusu kwa lazima! Kitendo hicho kilinihuzunisha kwani halikuwa lengo langu pia nilijua mule ndani ya 'elevator' kuna kamera za
nashindwa kuelewa unaogopa nini kama atelezwa boss kwamba ulitaka kubakwa ndani ya elevator,picha zitajielezea,hakuna haja ya hongo hapo.kama ulitoa ushirikiano katika kula mate,utajijua mwenyewe.kwa hapa ulichosema ni ulikuwa unalazimishwa kwa hiyo ulionyesha upinzaniNanukuu...
Mimi ni mfanyakazi wa kampuni fulani hapa Dar. Ni muajiriwa yapata miezi mi 4 sasa. Tangu nianze kazi hapo kuna dada ambaye ameonyesha kila dalili ya kutaka kuwa na mimi kimapenzi! Ninafamilia na watoto kwahiyo sipendi kujihusisha katika mambo kama hayo. Siku moja wakati wa sherehe ya kuwapongeza baadhi ya wafanyakazi huyu dada alinibana katika kona akataka kunibusu (busu kubwa) lakini nilimzuia na hakufanikiwa!
Siku mbili baadae nilipokuwa nikiingia kazini asubuhi kwa kutumia 'elevator' mambo yalikuwa sivyo kwani dada huyo aliingia katika 'elevator' ambayo mimi nilikuwemo kupitia floor ya 2! Kwabahati mbaya tulikuwa wawili tu! Baada ya kuingia na kuanza kuelekea floor ya 6 hapo katikati alinikumbatia ghafla huku akinibusu kwa lazima! Kitendo hicho kilinihuzunisha kwani halikuwa lengo langu pia nilijua mule ndani ya 'elevator' kuna kamera za ulinzi!!
Ilipofika saa kumi jioni mtu wa IT wa kampuni yetu alinipigia simu kwamba anamazungumzo nami na aliniambia kwamba ameona vyoote 'tulivyofanya katika elevator'
Ameniomba nimpe Tshs. 2.5M haraka iwezekanavyo ili aweke kapuni hizo picha na kama sivyo basi atazipeleka kwa bosi!!!
Sasa mimi uwezo wangu ni mdogo kwani hizo pesa sina...
Je, nikambembeleze huyu IT amezee? Nikajikamatishe kwa bosi na kumueleza ukweli? Je, mke wangu akijua itakuwaje kwani nashindwa namna ya kumuelezea!!
Naomba msaada wenu...
Kama ulilazimishwa huna cha kuogopa, acha zionekane na ueleze stori nzima kwa huyo bosi, na kujihami muambie mkeo mapemaaaaaaaa hilo lililotokea ! Huyo changu na huyo "mlinzi" ukiwashinda kesi yako kwa bosi wataipeleka kwa mkeo. Lakini, pia si ajabu kuna mshindani wako kwenye hiyo nafasi anataka kukuharibia ili aipate yeye-watch out!
Kuna sera yoyote hapo kazini kwenu inayokataza yalikutokea...???Nanukuu...
Mimi ni mfanyakazi wa kampuni fulani hapa Dar. Ni muajiriwa yapata miezi mi 4 sasa. Tangu nianze kazi hapo kuna dada ambaye ameonyesha kila dalili ya kutaka kuwa na mimi kimapenzi! Ninafamilia na watoto kwahiyo sipendi kujihusisha katika mambo kama hayo. Siku moja wakati wa sherehe ya kuwapongeza baadhi ya wafanyakazi huyu dada alinibana katika kona akataka kunibusu (busu kubwa) lakini nilimzuia na hakufanikiwa!
Siku mbili baadae nilipokuwa nikiingia kazini asubuhi kwa kutumia 'elevator' mambo yalikuwa sivyo kwani dada huyo aliingia katika 'elevator' ambayo mimi nilikuwemo kupitia floor ya 2! Kwabahati mbaya tulikuwa wawili tu! Baada ya kuingia na kuanza kuelekea floor ya 6 hapo katikati alinikumbatia ghafla huku akinibusu kwa lazima! Kitendo hicho kilinihuzunisha kwani halikuwa lengo langu pia nilijua mule ndani ya 'elevator' kuna kamera za ulinzi!!
Ilipofika saa kumi jioni mtu wa IT wa kampuni yetu alinipigia simu kwamba anamazungumzo nami na aliniambia kwamba ameona vyoote 'tulivyofanya katika elevator'
Ameniomba nimpe Tshs. 2.5M haraka iwezekanavyo ili aweke kapuni hizo picha na kama sivyo basi atazipeleka kwa bosi!!!
Sasa mimi uwezo wangu ni mdogo kwani hizo pesa sina...
Je, nikambembeleze huyu IT amezee? Nikajikamatishe kwa bosi na kumueleza ukweli? Je, mke wangu akijua itakuwaje kwani nashindwa namna ya kumuelezea!!
Naomba msaada wenu...
Wenzio twalia ndiziiiiiii ................🙂Uuutttuuummmbbbooo mmmtttuuupppu.
mkuu!!,Wenzio twalia ndiziiiiiii ................🙂
Ndio maisha hayo...amini usiamini hiyo kitu imetokea kweli...Duh, nakumbuka watoto wa kike wakati nasoma primary walikua na siku zao wanasutana, wambea na waongo wanawekwa kati wanasutwa kwa kutumia majivu. Pape, pole. Umesutwa sana leo. Ndio zawadi yako ya XMAS hiyo. Sina comment juu ya story yako.