Catch me if you can boy

Hhahahahaaa Kakakiiza acha kunipandisha na kuniongeza bichwa am humbled looh
 
Hebu fanya utotoe acha utoto wakukimbizana na mabati __________ Da i wish tungekutana ungepona kichaa JIONI NDIO HIYO MNYANGE ni PM nikuoneshe dunia vile yaenda unakaaje mwenyewe mpaka leo

Tangazo tam kias flan

I am who I am, can't have children at this time
 
Catch you??? Please!!!! ,incase you forgot oldster, I didn't buy your little tale!!!.

Mon oeil !!!

Why don't you live me alone, am not your type I don't deserve to be your companion in every way, age wise, financially, socially and mentally. By keep on hunting and following me on my buttocks you are making me high, high high up. Jst for your information in-case you didn't know, stay away from me please just get lost.
Your voice scares me :scared:
 
Hahahaaaa teh teh somebody is finally angry. I'm sorry young oldster, I didn't mean it. I was just doing it for fun. Don't be so mean. I'm out. Tchao.
 
Eti bibi mhhhh basi mi naomba niwe babu
 
Hahahaaaa teh teh somebody is finally angry. I'm sorry young oldster, I didn't mean it. I was just doing it for fun. Don't be so mean. I'm out. Tchao.

:spy: :cool2::blah::blah::blah: :ranger::blabla::blabla::blabla::mvutaji::alien::alien::alien::typing::lalala::music::music::music::argue:
 
Hizi avatar zetu hizi !! unakuta mtu kabisa ni mmama au mbibi lakini mwenyewe kaweka avatar ya mdada mzuri mbichi. Au ni libaya haf kajiwekea ya mtoto mzuri. Then mishkaji inayowaza ngono mda mwingi inashinda PM kuyafukuzia. Balaa nusura mkosi.
 
Sema walahiiii.....
 
Hakuna jipya chini ya jua, yote yalishatendeka na yanajirudia. Akiondoka Kasie duniani humu ndani kuna atakayezaa binti mwenye hulka na haiba kama yangu. Hakuna jipya yote marudio. Kabla ya Kasie kuzaliwa alishakuwepo mmama mwenye hulka na haiba kama ya Kasie, dunia duara.
Hata miaka hiyoiliyoitwa zamani kulikuwa na mateja wa bangi na mirungi.

Ngosweeeee Penzi kitovu cha uzembe kaingia kichwa kichwa kaangukia pua!!!
 
Mi huwa nawaambia wadada wa kibongo, biashara ya kutaka kuishi kitamthiliya hailipi. Mwingine unakuta ana miaka sijui 40 hana mume yupo yupo tu, matokeo yake anazeeshwa na vibabu kwa tamaa zake. Na hata akili zake zinawaza kizee zee tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…