It is a matter of time,ipo siku Marekani itagawanyika,nani alijua marekani yatajatokea maandamano barabarani ya kumgrnga raisi wao? hii imetokea utadhani ni zile nchi zilizodhaniwa kwamba hayina ukomavu wa kidemokrasia,kwa hiyo unapoambiwa Marekani itatengana majimbo yake usibishe,wao si malaika,mpaka sasa kuna vikundi vya chini kwa chini vinapinga muungano huo wa usa.hatuwezi jua vikundi hivyo vitakua kwa kasi gani au itikadi yao zitakubaliwa na wananchi waliowengi kwa muda gani ndiyo mana nasema it is a mater of time!.