Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,647
- 13,648
- Thread starter
-
- #21
Kwanza kabisa urafiki haimaanishi ni lazima tuwe na mawasiliano ya mara kwa mara. Kutokuwasiliana na mtu mara kwa mara hapamalizi urafiki.
Nimekuelewa barabaaara.Inaweza kuwa Tatizo na Pia inaweza kuwa si Tatizo,,
Binafsi mara nyingi napenda kuwa mwenyewe......ila kuna muda tunahitaji marafiki wa Kupeana Moyo,Kufarijiana na kufurahia Maisha pamoja sasa kwa Tabia yetu hii kuna muda inatugharimu sana..
Watu wanaweza Kutuona kama ni watu tusiotanga ukaribu na wengine na Pengine kuonekana tuna majivuno ama maringo kwenye Jamii zetu..
Upande wa Pili wa Shilingi kuwa na marafiki sana hupoteza muda pia hasa ukikutana na Marafiki ambao hawako real..
Yes Paula nimeshalalamikiwa Mno tena mara nyingine urafiki nina uanzisha mimi halafu unanishinda ...Huwa najisikia vibaya kuna muda naweza kuomba Msamaha kwamba nitajirekebisha... Nita Keep urafiki ila baada ya Muda kidogo nashindwa tena na kuwaacha marafiki waende mie niendelee na maisha yangu niliyoyazoea !!!
Hebu sema sasa tunafanyaje aisee!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafurahi kusikia hivo Priest inchargeWengi tupo hivyo na sioni kama ni tatizo tuwe na jambo la kujadili sio story tu na salamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lugha ya leo ni nyepesi Zurri.Tatizo lugha, nilitaka niseme chochote.
Ila kuna watu naona wanasema "I'm my own best friend" na mwingine anasema ".....sina rafiki kama mimi", mwingine anasema "...kuwa rafiki yako wewe mwenyewe". Sasa sidhani kama wanajua maama ya tamko rafiki.
Yaani kauli zao zote zinapingana na uhalisia.
Embu tuishi katika kauli hizi chache huenda tukajua urafiki ni nini na je unaweza kuepuka kutokuwa na rafiki.
Husemwa :
1. Ukitaka kumjua mtu fulani angalia watu anaosuhubiana nao (Marafiki hao)
2. Ndege wafananao ndio huruka pamoja (Hapa wanazungumziwa marafiki)
3. Ukisuhubiana na mfua chuma kama sio harufu ya chuma utakuwa nayo basi hata zile zicheche zitakupata tu,na ukisuhubiana na muuza mafuta ya misk, kama hutanukia harufu ya misk basi lazima utavutiwa na bidhaa ile kisha ununue.
Naendelea ....
Asante. Naam.Kwanza kabisa urafiki haimaanishi ni lazima tuwe na mawasiliano ya mara kwa mara. Kutokuwasiliana na mtu mara kwa mara hapamalizi urafiki.
Pili, kadri umri unavokwenda watu wanapoteza idadi ya marafiki na kujikuta ana watu wa karibu kama coworkers, majirani, wanachuo wenzako, wafanya biashara wenzako.
Unajikuta hawa ndio watu wapo kwenye cycle yako. Na ukaribu wetu utalenga kushirikishana fursa kwa wafanya biashara, kusaidiana kwenye matatizo kwa majirani, discussion na kusaidiana kushirikishana ajira mpya kwa wana vyuo nk.
Lakini pia mtu ukishakuwa umeolewa , unajikuta muda mchache unaoupata unajihusisha kwenye familia yako, mume/mke na watoto.
And lastly, hamna tatizo kutokuwa na marafiki, unaweza kuamua kuwa rafiki yako wewe mwenyewe ila pia kama una nafasi ya kuwa na marafiki hamna tatizo na faida zake ndio kama kushirikishana vitu vya msingi na sio kupiga soga. Na sio lazima kupigiana simu kila saa.
Hayo ndio niliyojifunza kwenye comment yako.
I neither shy nor uncomfortable around people.There are so many reasons that might be the cause of all this. For instance, if you are shy and uncomfortable around others it makes the people around you feel uncomfortable too. Do you feel like you can't measure up to the people you want as friends? Are you able to trust other people? These may be barriers that create distance between you and others.
Are you introverted? When push comes to shove, do you actually prefer being alone rather than spending time with friends? Do you think people know this when they're around you?
Have you ever had difficulty establishing intimate relationships with others? Are you uncomfortable with people knowing the real you?
Some people lack the skills needed to make and maintain friendships. Do you think you have what it takes to be a good friend?
Living in an area where it is difficult to connect with others might also be a reason. This might include living someplace where there are few people or, because of a history of frequent moves, being someplace where you feel like an outsider or even feeling the distance between you and your close friends if you dont live in the same area.
Nimekuelewa Suriya.Nimekupata.
But mim mtizamo wangu katika maisha.. kila rafik ana percent zake za kujua mambo yangu, kulingana na hekima zake.
Ukiwa na rafik mwenye hekima nyingi si jambo la ajabu kumshirikisha mambo yako.
Nimeanza kutumia lugha laini siku hizi, baada ya kusoma soma mahali.Lugha ya leo ni nyepesi Zurri.
Sasa kuna tatizo kama mtu anashindwa kudumu kwenye urafiki
Wewe binafsi unatumia mbinu gani kuhakikisha unauendeleza urafiki uliouanzisha?
Yah rafik wa kiroho i wish nimpate, mfano nakutana nae, ananipa habar za neno la Mungu au mafundisho fulani ya neno la Mungu, but i think haitozuia kushare na vitu vingine pia.Nimekuelewa Suriya.
Asante kwa mchango wako.
Ulisema kuhusu rafiki wa kufanya nae kikundi cha maombi. Huyu atakuwa ni rafiki au prayer partner? Au huyu huyu ndio huyo utakayekuwa mnashirikishana hadi vitu binafsi?
Baby Doll umenigusa sana, mpaka nilihisi nina tatizo ama naamini sana hawa binadamu, marafiki niliowaamini wamenipiga matukio jamani mpaka siyo poa.!
there are some people outta there believes that I am their friend, but deep down I know got none of them in my list.! L.I.F.E..!
Usinikumbushe tafadhali sana.!!Watu mnachekeana kila siku, kumbe nyuma ya camera ni machatu yanafikiria ni lini yakupake mate yakumeze. Na siku wanakugeuka hauwezi kudhania, usiposhikwa tumbo la kuhara lazima uingie siku zako kwa huo mshtuko unaoupata.
Unawaza huyu ni rafiki au ni shetani. Maana hata adui yako angewaza mara mbili kukusaliti usaliti wa aibu namna hiyo.
Ogopa sana mtu anayekusisitizia ""you can trust me"[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app