Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,647
- 13,648
Pole sana Doll.Mimi naona hamna tatizo.
Kipindi cha nyuma nilikuwa na marafiki wengi ila the older I get, the less I want to interact with people. Kwa sasa sina marafiki au hata rafiki.
Sababu mojawapo ni Trust issues. Marafiki niliowaamini walinigeuka na kutenda vitu ambavyo hata adui yangu kamwe asingeweza kufanya[emoji57][emoji57]. Tangu pale siamini mtu yoyote kuwa rafiki yangu bora niwe mwenyewe.
Nakushauri bora ubaki kama hivyo, mazoea ya kufatanafatana ndo unafiki na chuki zinapoanziaga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla hatujalitafutia utatuzi inabidi tujue kwanza kama ni sahihi kuliita ni tatizo au sio tatizo.Dah!! Aisee wewe na mimi ni kitu kimoja kabisa,,
Sijivunii hii hali,ila Ndivyo nilivyo sijui hata cha kufanya,,
Nishapoteza marafiki wengi mno yaani siwezi kuwa Keep kabisa tena masuala ya kuchat ndiyo yameshanishinda kabisa.
Nami napenda kukutana na watu wapya ila kuendeleza urafiki ni jambo ninalolishindwa...
ilhali tumegundua ni tatizo tulitafutie ufumbuzi........
Sent using Jamii Forums mobile app
Marafiki 50+? Huu ni urafiki wa kushare hadi vitu binafsi au huu urafiki wenu upoje Scars? Mbona wengi sana?Nina marafiki zaidi ya hamsini ila nachosikitika sina rafiki kama mimi
Inaweza kuwa Tatizo na Pia inaweza kuwa si Tatizo,,Kabla hatujalitafutia utatuzi inabidi tujue kwanza kama ni sahihi kuliita ni tatizo au sio tatizo.
Kweli tumefanana, tunapenda kupata marafiki wapya ila kuuendeleza urafiki ni tabu.
Mimi ukikutana na mimi siku ya unaweza kusema mimi nitakuwa rafiki yako wa kufa na kuzikana. Ila baada ya hapo kuendeleza huo urafiki ndio shughuli.
Haujawahi kupokea malalamiko Mnazareth?
Pole sana Doll.
Nimekumbuka kuna msemo sijui nahau inasema "rafiki ni mkia wa fisi".
Inauma sana maana unapokuwa rafiki na mtu unaweka wazi mambo mengi sana kwake. Na siku akikugeuka hamna utakachokuwa umebaki nacho mwenyewe kama siri.
Cha msingi you learned your lesson na sasa umechagua njia sahihi ya kuepusha maumivu ya usaliti.
Asante kwa ushauri .
Suriya asante kwa mchango wako.First thing you supposed to know..
what do you like to share with friends.?
I wish nipate rafik wa kufanya nae kikundi cha maombi.
We have a dreams, dunia ina mambo mengi, lakin huwezi kwenda kasi, kiasi cha kushindwa kukaa karibu na rafik
Lakin kama kuna distance imewatenganisha basi, phone call moja kwa mwezi inatosha sana, and conversation it depends na tabia ipi mmefanana na ilijionesha kipind mpo karbu.
Kwa upande wangu mim najua rafik anae nifaa na kitu cha kwanza ni Trust, kuwa huru kumwambia inshu zangu
Lakin urafik utagoma pale atakapo nipuuza au yeye kushindwa kua huru kusema mambo yake kwangu.
Pia naamin Mungu akikupa utulivu wa peke yako kuna kitu anataka ujifunze.
Kuna kipindi unaweza kuzungukwa na marafik muda mwingi, lakin kuna kipindi utajikuta uko peke yako hadi unashangaa.
Asante sana Kiranga.Kwanza kuwa rafiki yako wewe mwenyewe.
Mengine yatafuata.
Ukiwa na rafiki poa.
Usipokuwa na rafiki ushakuwa rafiki yako wewe mwenyewe.
Pia, urafiki maana yake si kuwa na constant contact. Mara nyingine watu wako busy na kazi, familia etc.
Watu wakishafika miaka ya kati ya ishirini naona inaweza kuwa vigumu kuwa na marafiki wengi wa constant contact. Hapo ndipo unaona mtu anapokua idadi ya marafiki wa karibu inaweza kupungua.
Kunakuwa na "social circles" za acquintances wa chuo, kazini, biashara, majirani n.k.
Mimi napendelea marafiki wachache. Imetokea tu marafiki zangu wamekuwa well connected kwenye community, na kwa kupitia wao, napata mengi ya community.
Inawezekana nimepoteza nafasi nyingi za ku advance socially kwa kukataa mialiko ya parties (from professional networking soirees to UN parties) kwa sababu siku fulani sikujisikia kuwa na mood ya mambo hayo tu.
Pia, watu wanavyoingia katika uchumba na ndoa, mara nyingi kujiweka zaidi katika uchumba, ndoa, familia kunachukua muda ambao vinginevyo ungeenda kwa marafiki.
Be your own best friend, the rest will follow.
Sent using Jamii Forums mobile app
Suriya asante kwa mchango wako.
Hivi tukiwa marafiki inabidi nikuambie mambo/siri zangu nisikufiche?
Hamna njia nyingine ya kuwa rafiki bila kuambiana hivi vitu?
This point is well noted " Pia naamin Mungu akikupa utulivu wa peke yako kuna kitu anataka ujifunze." Nahisi nipo hapa.
Be blessed.
Asante Paula.Asante sana Kiranga.
Nimejifunza jambo kubwa sana kupitia huu mchango wako.
Nikijaribu kuangalia maana ya urafiki kwenye dictionaries zangu haitoi maana halisi ya urafiki ambao wengi tunajua ndivyo urafiki unapaswa kuwa.